Ugunduzi: Mchawi muda.. hilo tu ndo tatizo

Ugunduzi: Mchawi muda.. hilo tu ndo tatizo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,771
Reaction score
32,394
Wadau... Mambo ni mengi sana... Tatizo ni muda tu hautoshi. Kuna suala la CAG Washkaj wanataka tujadili, but wakati tunajadili likaletwa suala la liquid piere tukatoka kwa CAG....leo tena nawasikia makonda nao wana kao jambo.

Demu wangu kanipigia simu anataka nikamwone ...najua na hii mvua anajua nikienda simwachi....sijapata muda bado sababu kazini nako kuna vimeo kibao tu huku washkaji wananambia hbr za mwanasimba aliyetoka Mbeya kuja Dar mwa ngoko tu... Akicheza reggae is strong...

Washkaj kibao nao wameweka appointment tuka discuss maisha bar na kupanga namna ya kupata pesa...najua pili msambwanda naye atakuwepo...yule demu mashallaah sana...muda ndo mchawi.

Mh rais yupo ntwara nako kuna mambo yake yanavutia...karuhusu gongo iuzwe tu hadharani na kushauri iwe na kipimo...yaani ijulikane huu ni ujazo wa robo,nusu au lita kamili... Hii nmeipenda. Naamini atakuja ruhusu na ganja kwa msharti kama hayo.

Kuna demu nlikutana naye ofisi flani tukapeana namba za simu ameniganda sana kila wakati ananipigia simu anataka nikamcheck sehemu wakati huo huo mazeri naye anataka nihudhurie sana sala...tatizo muda...mama hajui mambo mengi tatizo muda.

Nakula ,wakati huo huo kuna watu wanataka tuchati kuhusu issues mbalimbali...na mademu nao waananza tengeneza mbinu za kunipiga mizinga.nawajibu pesa nlimpa yote mazeri anaumwa...wanakata simu.

Yaani mambo ninmengi sana tatizo tu ni muda.
 
Back
Top Bottom