Za jioni wadau?mm bint yng anataman kuingia jeshini kabla cjamkubalia nikaona niwashirikishe ili nipate uelewa ni nn haswa kazi ya wanajeshi wa kike jeshini ikiwa kwa umri wng c haba cjapata...
ama kweli nimeamini,maskini huwa wana roho mbaya sana hata kama tajiri ana magari 100 ,MWANA TASAF akisikia moja limeibiwa au limepata ajali basi kwa furaha atachinja hata kale kakuku kamoja cha...
Napenda kujua kwanini jengo kubwa lenye sura nzuri linalopendeza la nssf makao makuu ilala usiku taa zote huzimwa ikianza kuingia saa 1 usiku jengo lote kiza mpaka asubuhi kuna nini? Kwa nini...
Kinachofuata sasa watu wataogopa kumualika Bashite kwenye shuhuli zao kuhofia kwenda kuharibu maana jamaa kila akipewa mic lazima aropoke utumbo, nawaambia Bashite atakosa mialiko sasa hivi kile...
Nimejaribu kufatilia nimekuja kubaini kuwa ajali nyingi zinatokea mwaka wa uchaguzi ukiachana na uchaguzi ajali zinakwepo ila za kawaida/za msimu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
“WALIANZA kunipigia ndani, baadaye wakanitoa nje wakaanza kunitembeza mtaani huku wakinipiga.”
Simulizi ya Anastazia Ernest mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam inathibitisha kwamba mrembo huyo...
Hii petition inayoendeshwa na Zitto kabwe na Maria Sarungi kwa kutumia taasisi ya Change Tanzania ni fake?
Kwanini nasema fake, wenyewe wanasema wa natafuta sihihi 10, 000 ili wapeleke mbungeni...
Jamani leo ktk pita pita zangu maeneo ya njiro mkoa wa arusha maeneo ya chuo cha uhasibu nimeshuhudia vijana zaidi ya 280 wakifanya usaili wa mchujo ili kwenda kwenye usaili wa ana kwa ana kwenye...
Nimepata mshtuko mkubwa baada ya kusikia Mwalimu wa shule ya sekondari Dunda kuachishwa kazi baada ya figisu figisu za mkuu wake wa shule akishirikiana na baadhi ya walimu marafiki zake ili...
Hii inaweza kuwa habari njema sana kwa wanywaji wa pombe! Inafahamika kwamba ili ulewe, lazima unywe kinywaji chenye kilevi ukipendacho, inaweza kuwa ni pombe za kienyeji, bia au pombe kali lakini...
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala UNAzungumzwa ya kwamba unapotaka kufanya jambo lako la siri au unataka kupiga dili LA pesa ndani ya ofisi au una dukuduku lako unataka kumwambia...
Ukichukua Kiasi chote cha dhahabu ambacho uingereza,urusi,India na USA wamehifadhi bado hakifikii jumla ya dhahabu iliyopo katika ardhi ya Tanzania.
Hii nchi Ni tajiri Sana kupita maelezo Cha...
Mamlaka ya chakula, dawa, vipodozi na vitendanishi kanda ya ziwa Magharibi, kwa kushirikiana na polisi wa kimataifa, Interpol imekamata zaidi ya tani tano za vipodozi vyenye viambata vya sumu...
Katika Ukristo kuna madhehebu mengi sana, yenye utofauti tofauti katika kile wanachoamini! Misingi ya imani yao inatofautiana.
Lakini tofauti na madhehebu mengine Wenzetu wa RC wanakitu wanaita...
Habari wana JF,
Nina ndugu yangu ni mjamzito na ni ujauzito wake wa kwanza alianza clinic mapema sana,alivyoenda clinic siku ya kwanza alikutana na nesi mmoja alimwandikia vipimo vya magonjwa...
1.Utalipwa mshahara unaotokana na mapato riba,kubeti,pombe.
2.Hautapata muda sahihi wa ibada zaidi ya vurugu tu muda wote.
Fanya kazi itakayokupa kipato halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitengo cha mipangomiji Arusha amelala wanasubiri nini kupanga mji unaokua kwa kasi kuliko inavyotarajiwa, unakuta mji unakua hauna barabara za mtaa, maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya...
NI simanzi kuu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia familia ya Mbwana Said, mkazi wa Kimanzichana wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani kukumbwa na balaa kubwa.
Ilikuwa Jumamosi iliyopita ambapo radi...
Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma inawashikilia Watumishi saba wa Wilaya ya Kakonko akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kwa tuhuma za ubadhilifu katika ujenzi wa...