Nimejaribu kufatilia nimekuja kubaini kuwa ajali nyingi zinatokea mwaka wa uchaguzi ukiachana na uchaguzi ajali zinakwepo ila za kawaida/za msimu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hata haya mambo ya watoto albino kuchinjwa ni kipindi cha uchaguzi ukikaribia.Wanasiasa watu wabaya sana halafu wanasingizia wafanyabiasharaNimejaribu kufatilia nimekuja kubaini kuwa ajali nyingi zinatokea mwaka wa uchaguzi ukiachana na uchaguzi ajali zinakwepo ila za kawaida/za msimu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app