Vijana zaidi ya 280 huko chuo cha uhasibu arusha wagombania nafasi moja ya ajira (planning offer II)

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Jamani leo ktk pita pita zangu maeneo ya njiro mkoa wa arusha maeneo ya chuo cha uhasibu nimeshuhudia vijana zaidi ya 280 wakifanya usaili wa mchujo ili kwenda kwenye usaili wa ana kwa ana kwenye nafasi ya planning offer II kwenye mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro.

Vipi mliofanya mtihani wa mchujo mtihani ulikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu utashangaa wanahimiza tu wigo wa kodi uengezwe na sio kuongeza Waajiriwa ndio walipa kodi waongezeke.
 
Noma sana watu 250 anatakiwa mtu mmoja?? Kwel kusoma kipind hiki sio guarantee ya kutoboa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom