Je, kweli wachagga, wanyakyusa na wapare ni watunzaji wazuri wa siri?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,682
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala UNAzungumzwa ya kwamba unapotaka kufanya jambo lako la siri au unataka kupiga dili LA pesa ndani ya ofisi au una dukuduku lako unataka kumwambia MTU ili akupe ushauli

Inasemekana watu kutokea makabila ya WACHAGA NA WANYAKYUSA,WAPARE inasemekana hawa watu wanajua KUTUNZA siri hata ikitokea mmpiga dili huwezi kusikia akilopoka kwa watu.

LAKINI PIA KUNA ANASEMA UKIOA AU MKIWA NA MKE HAWA WATU PIA NI NGUMU KUSIKIA HATA AKITOA SIRI ZA NDANI

Je inawezekana hii ni kweli hawa watu wanajua KUTUNZA SIRI KWA JAMBO LOLOTE UNAPOWASHIKISHA
 
Ni kweli .hao watu ni watu wa kazi bilakujali ni mwanamke or mwanaume misingi ya heshima zao ni ktk kufanya kazi zaidi kuinua maisha na sio ngoma, nk
 
wanyakyusa ni wambea balaa tena mpaka wanaume ni hatari sana
Mkuu umeshawahi kufanya kazi NA WANYAKYUSA KWA mfano ushawahi kupiga nae dili lolote ofisini haswa dili LA hela ,

KWA kifupi hawa watu ukipiga nae dili lolote hata huwezi mkuta akisema kitu
 
Mkuu umeshawahi kufanya kazi NA WANYAKYUSA KWA mfano ushawahi kupiga nae dili lolote ofisini haswa dili LA hela ,

KWA kifupi hawa watu ukipiga nae dili lolote hata huwezi mkuta akisema kitu
kama hilo dili anahusika hawezi sema.....sasa piga dili halafu mnyakyusa hajanufaika nalo uone anavyokulipua
 
Mkuu inawezekana ikawa unasema ukweli, ila mtu mfanye dili ya pesa halafu uanze kuongea ongea huo utakua zaidi ya ukilaza....
 
Back
Top Bottom