Wadau naomba mwenye kufahamishwa kazi za wanajeshi wa kike jeshini!

Boogman

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,402
5,498
Za jioni wadau?mm bint yng anataman kuingia jeshini kabla cjamkubalia nikaona niwashirikishe ili nipate uelewa ni nn haswa kazi ya wanajeshi wa kike jeshini ikiwa kwa umri wng c haba cjapata kuwaona mstar wa mbele vitani,karibuni kwa wenye uelewa nipate kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ulipigana vita gani mpaka uwaone mstari wa mbele vitani tuanzie hapo kwanza???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za jioni wadau?mm bint yng anataman kuingia jeshini kabla cjamkubalia nikaona niwashirikishe ili nipate uelewa ni nn haswa kazi ya wanajeshi wa kike jeshini ikiwa kwa umri wng c haba cjapata kuwaona mstar wa mbele vitani,karibuni kwa wenye uelewa nipate kuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao wanajeshi wa kike wanakuwa trained tofauti na kiume wanapokuwa mafunzoni mpaka wawe na majukumu tofauti.

Ni vita gani wewe umeshuhudia mpaka sasa na hukuwaona front ?
 
Kama hakuna vita, akiwa kambini atafanya kazi zile zile zinazofanana na za kiraia kwa namna ile ile wenzao wa kiume wafanyavyo. Wakati wa vita ni kupambana na adui katika mazingira yale yale kama wanaume.
 
Ni ngumu mwanamke kuingia uwanja wa vita, labda aende vitan Kwa shughuli za kambini nasio kuingia kupambana.
Kama hakuna vita, akiwa kambini atafanya kazi zile zile zinazofanana na za kiraia kwa namna ile ile wenzao wa kiume wafanyavyo. Wakati wa vita ni kupambana na adui katika mazingira yale yale kama wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajeshi wa ulinzi wa kiisraeli....
47690757_133419251007180_4864390368425691230_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu mwanamke kuingia uwanja wa vita, labda aende vitan Kwa shughuli za kambini nasio kuingia kupambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaposema ni ngumu labda utakuwa na uzoefu wa vita fulani iliyowatenga wanawake kuwa mstali wa mbele!.. Nikuhakikishie tu kuwa ukiwa front .... formation inayotumika inakuwa imeishapangwa na wapiganishaji, utekelezaji wake katu hautegemei jinsia. Kila kichwa front ni askari mpiganaji siyo mwanamke au mwanamume.
 
Kazi kuu ya askari wa kike jeshini ni kushuka chini na kutetema hiyo ndio kazi yao kubwa
 
Back
Top Bottom