Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimetangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Dodoma hii leo.
Maandamano hayo ambayo yalikuwa yanaratibiwa na jumuiya ya vijana ya...
Mimi leo naomba wanajamvi munifafanulie mamlaka ya Afisa Tarafa Kikatiba au kwa mujibu wa katiba, napenda kujua kwasababu ktk zunguka yangu Mimi kama Mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa.
Sababu ni...
Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.
Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka...
Bado mambo ni magumu, waliahidi mwisho Tar 30. March leo Tar. 8 April
Mashamba hayajaandaliwa. CCM ni bora ijitafakari tu haifai tena kuongoza
nchi hii.
Haya matangazo ya nyumba za chamazi yanavutia sana mimi ni mkazi wa Goba na nimejenga Goba ila nashawishika ninunue nyumba huko kisha nipangishe tu...
nyumba nzuri kweli zimenakishiwa kwa rangi...
Habari wadau Leo nimeamka na hasira nilipoona mtoto Wa mpangaji wangu analilia kisa kaambiwa na mama yake akinge maji na kuingiza ndani kumsaidia Dada Wa kazi anaumwa Leo.
Nimejikuta nimempa...
Naona leo si haba!
Taarifa za Maalim huku Bara na huko Visiwani hakika leo mumezitendea haki.Matukio karibu yote ama ya Seif alivyozungumza na vyombo vya habari na huko Zanzibar pia namna...
Jamani naomba msaada hivi Emirates airline wamepunguza trip zao kwa wiki imekuwa mara 5 tu badala ya daily flights. Kama kuna kuna mtu anajuwa please anaweza kuthibitisha. Hata Qatar airline...
RAIS WA BUGANDO APATIKANA USIKU HUU
akutwa akiwa katupwa Usagala Akiwa hajitambui na akiwa amepoteza kumbukumbu
Rais wa chuo kikuu Bugando Mussa Leonard Mdede amepatikana usiku huu akiwa...
Nimeshtushwa na takwimu za ITV kupitia kipindi chao cha "YU WAPI", kwamba kwa mwaka huu wamesharipoti upotevu wa watu haswa watoto, zaidi ya 93 na wengi sana wa hao wanatokea mkoani Dar-Es-Salaam...
Nina visent nataka nivisave bank Mana kusave home Ni risk coz waeza vunjiwa ukaibiwa au nyumba ikaungua af ukiwaambia watu kulikua na pesa ndani ukaonekana kolo
Sasa changamoto Ni haya makato ya...
Wenye uelewa nisaidieni je ni category gani ya hela inalipwa km sehemu ya mkopo?
a. Ada
b. Boom
C.library requirement.
Au yote tafadhali mwenye uelewa anijuze
Nimekaa chini nikatafakari, mara nyingi tumekuwa tukiona watu wakishinikiza wengine wafanye migomo. Utakuta kuna baadhi ya watu pengine hata viongozi wanaongelea migomo na kuwalisha watu sumu...
Hakuna kitu kinasikitisha kama kuona hakuna taarifa sahihi za timu ya Taifa na wachezaji wake kipindi hichi tunachoelekea kwenye michuano mikubwa tulioshindwa kufika zaidi ya miaka 39 AFCON...
Lile sakata la kumfufua mtu limefika pabaya, Lukau adaiwa kufanya maigizo ili kutapeli waumini, Mboro amvalia njuga juu ya utapeli huo, video ina maelezo kamili.
Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa...
Serikari ya Japani kwa kushirikiana na serikali ya Tanzania imezindua kituo cha afya kijiji cha Manyire kata ya Mlangalini wilayani Arumeru mkoani Arusha kilichogharimu zaidi ya kiasi cha shilingi...
Naamini wengi tulishawahi kupita maeneo ya magogoni pale, kwenye nyumba ya mkuu wa nchi ile ni ofisi kama zilivyo ofisi zingine za umma na huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna...