Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu,natumai hamjambo. Mimi ni jasilia Mali ninayejishughulisha na utengenezaji Wa kugandisha barufu kwenye ile mifuko midogo midogo mieupe ya plastic, changamoto Yangu kwa sasa ni...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunajifunza kiingereza ili tuwasiliane na wanyonyaji VIZURIi;na tukinyonywa vizuri tunalalamika VIBAYA. Hakuna nchi maskini duniani kama MAREKANI,na hakuna nchi tajiri duniani kama nchi...
2 Reactions
3 Replies
950 Views
Voo dooo ni uchawi maarufu duniani wenye asili ya Africa, lakini umevuka bahari na kuenea sehemu mbalimbali duniani. Mshana Jr nimewahi kusoma mahali Fulani kwenye machapisho yake kuwa uchawi...
6 Reactions
28 Replies
7K Views
Mkuu tunakuomba sana uiangalie barabara hii ambayo kwa sasa ina magari mengi.barabara hii ni finyu na inatumiwa na malori mengi ya mchanga mawe na kokoto yanayopanda na kushuka...toka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakati tuna elekea maazimisho ya siku ya wafanya kazi duniani wafanyakai wa tanzania wamekuwa wanyonge bila mtetezi hasa kutokana na kunyimwa kwa stahiki zao ambazo zingine ipo kisheria haki hizo...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Je ni upi Mchakato sahihi wa kuandaa soya kwa ajili ya maziwa ili kumuepusha mtumiaji na side effects za soybeans,? maana nimesikia na kusoma Mengi kuhusu maharage ya soya ,sokoni yapo maharage...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu salaaam Heri ya pasaka Yenu kwa ndugu zangu wakristo. Nimekwama ndugu zangu,kijana wetu yule mgonjwa anatakiwa kufanyiwa chemotherapy leo kuanzia saa 5.kama mwezi mmoja uliopita...
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Siwezi kumlaumu moja kwa moja Naibu Spika kwa maamuzi hayo ujue watu wengi ni wagonjwa na Kuna wengine hawajijui Kama ni wagonjwa wa kutosikia vizuri au hata kuona vizuri Madaktari wa Bunge...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna kitu Mimi sielewi kuhusu Hawa wachungaji au mashekhe ambao Wana jinasibu na kusifiwa kuwa wanaombea wagonjwa mbalimbali na kupona yaani kwamba wenyewe Wana nguvu zitakazomfanya Mungu...
0 Reactions
6 Replies
845 Views
Wakubwa wote shikamooni ........!!!!Leo nimejifunza kitu kikubwa humu nimetambua kua kumbe tuna baba zetu humu, Muda mwingine tunawatolea kauli chafu kabisa tunahisi tuko Na jamaa zetu wakaribu ...
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Najaribu kupata makadirio ya kodi, kwa Nissan Dualis ya 2007 CC 1990, siioni katika list ya TRA, mwenye kufahamu makadirio ya hii gari naomba msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana jf epukeni kushirikiana uovu na watawala mtawala akikushirikisha uovu mkwepe siku akikaribia anguko lake atakuuwa kuficha taarifa zake zusivuje Soma kisa hiki Hapo zamani palikuwa na...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Punguza gharama ya matumizi ya umeme kwa kutumia #Vyungu kama mbinu mbadala wa kuzalisha joto kwajili ya vifaranga. Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi naomba kuuliza mimi nipo ferry nataka kwenda kibiti, Magari ya kibiti yanapatikana wapi na bei yake ipoje???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba Diamond, Abdul Juma amefunguka ishu ya kusainiwa WCB kwenye lebo ya mtoto wake Diamond Platnumz. Mzee juma amesema kuwa kwenye mambo ya kutafuta riziki anaweza akaajiriwa na mwanae huku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naweka wazi kabisa ili nisije kulaumiwa kwa yatakayotokea kanisani baadaye , kumcha Mwenyezi Mungu ni pamoja na kuukataa unafiki hadharani , ikitokea Wanasiasa wenye makandokando yanayofahamika...
18 Reactions
85 Replies
7K Views
Hakuna asiyekunywa maji hapa Tanzania,wote tunakunywa maji.kuna brand kibao za maji Safi na salama ya kunywa.ebu tuambie wewe Ni maji gani haswa unayakubali sana..Mimi binafsi napendelea sayona na...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari za muda huu, Baada ya kuona uzi huu Hospitali ya Eternal international ikishirikiana na madaktari bingwa kutoka china inakupa ofa kuja kufanya chekup ya mwili mzima - JamiiForums Ambao...
0 Reactions
36 Replies
13K Views
Wakuu habari zenu. Kumekuwa na mrundikano wa nyuzi nyingi za kutoa tahadhari za HIV na UKIMWI humu jukwaani karibu week nzima. Si kitu kibaya, ni jambo jema. Ila mi nna concern yangu. Huo UKIMWI...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…