Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za leo Ninatarajia kuanzia safari siku ya jumanne ya tarehe 30 mwezi huu kutokea hapa Dar majila ya SAA tatu asubuhi na gari private aina ya Rav4 new model nitaenda hadi mafinga...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nasikia tuu ccccmmm hoyeee jukwaaani na kuongelea mambo ambayo alikuwa ameahidi na kuya fanya na kutambulisha baadhi ya wateule wake jukwaani kuongea na kutambulishana je hii ina tofauti gani na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona. Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo nilikuwa nafatilia moja ya kituo cha television huko marekani tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi...
30 Reactions
35 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa faida za hizi Tuzo Points wanazotoa vodacom ukiweka salio au kufanya muamala kwa M Pesa. Naweza kuzitumiaje na zikanifaidisha??
0 Reactions
63 Replies
14K Views
Vibaka wanaokadiriwa kufika 28 wwalikamatwa jana kwa uhalifu na uporaji wa simu za watu kawe beach Vijana hao wakitokea manzese walikodi coaster ambayo ilikaa kwa mbali ikiwasubiri Wwalipoana...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Lala muda wa kutosha usiopungua saa 8; "Huenda likaonekana kuwa jambo la ujinga, lakini tunajua kwamba kulala kwa muda zaidi na usingizi mzuri kunapunguza nafasi ya wewe kuugua msongo wa mawazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Baada ya kujikuta nimeamkia mwananyamala basi , ndipo nilipojiuliza hapa nimefikaje na je nani kanifikisha hapa" nilipata kuendelea vzr kidogo kidogo kwani ari haikuwa vzr sana. Kucheki pembeni...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wanajamii, Mh Benn kwanza nakupa pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa,ila kuna kero moja ambayo ipo katika moja ya Check Points zako za Transit, napenda kua speaker kwa wahanga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam! Wakubwa poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku,bila kuwachosha acha niende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu watanzani wengi tunapenda kufahamu makadirio ya nauli ya route...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Juzi hapa Dar mabweni ya Shule ya Atlas huko Mivumoni Madale yameteketea kwa moto...sio tukio LA kwanza kwa kila nyumba inayopata janga LA moto hapa Dar mbali na Mjini ifanikiwe kuokolewa zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Maelfu ya watu wameondolewa na kupelekwa katika maeneo mengine nchini Msumbiji huku kimbunga Kenneth chenye nguvu kikiwasili katika eneo la kadskazini ya Msumbiji. Kimbunga hicho kilikuwa na...
1 Reactions
130 Replies
12K Views
Tujadili hili swala LA kusajiki upya line jee muwalio toa utatosha kweli miningependa selikari wange Fanya kama walivyo Fanya zoezi LA kujiandikisha kwenyedaftari LA kudula kula nahivi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanzoni ilikuwa buku 2 unapata 1.2gb na muda wa maongezi kibao na sms 1500 juu kwa muda wa siku 7 ila kuanzia juzi wamepandisha eti 1500 1gb na muda maongezi na sms kwa siku 3 tuu na 5000 3gb na...
6 Reactions
80 Replies
10K Views
Kama kuna tamthilia nimetokea kuichukia basi ni tamthilia ya Sultan. Watu wa tatu wamenifanya niishie hapa maana matendo yao ni zaidi ya kuwa wanyama. Kwanza hullem, pili wazari mkuu wa sasa Pasha...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
We have a lot to learn here as MEN and COUPLES. 62 years faking to be deaf? Sio mchezo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kangaroo ni mnyama mwenye ufanano wa sura kwa mbali na sungura, wanyama hawa huwa na miguu mifupi sana ya mbele, kiasi cha kumfanya hata akimbiapo kutumia miguu miwili ya nyuma huku mkia wake...
5 Reactions
34 Replies
11K Views
Hellow watu wa Mungu, salam.. TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line ya simu.. Nimejiuliza maswali mengi mno sijapata jibu sababu sioni sababu yoyote ya...
46 Reactions
150 Replies
21K Views
Wakuu habari za mida hii!! Huku nilipo kuna shida kubwa ya maji, visima ni virefu sana kwenda chini na vipo mbali mbali sana. Nimekua nikifikilia jinsi gani naweza kurahisisha utekaji maji toka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua nikitaka kufika mbeni beach ,kanisa la SDA , nafikaje, nikiwa natokea ubungo, napanda magari ya wapi ? Naomba kwa wanaojua wanisaidie kunifahamisha...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…