Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,435
- 191,764
Huyu mrembo anaitwa Doreen nimeangalia clip yake hapo. Ni muathirika wa Ukimwi wa kuzaliwa nao. Toka akiwa mdogo amekuwa akitumia dawa mpaka kukua approx. 25 years now.
Nimewaza kwa sauti wale vijana wenzangu ambao wakiona mtoto ana shepu, ta.ko na rangi ya kuvutia basi wao kipengele cha kinga wanakipiga teke. Hali ya usalama itakuwaje jamani? Ukizingatia mtoto dimples baby face namna hio akisema tu yeye mipira huwa inamuumiza kitakachofuata ni nini?