Mishahara wanayolipwa wafanyakazi wa serikali Tanzania ni mikubwa sana kulingana na kazi wanazofanya. Yaani serikali inalipa watu 100 kwa kazi ya watu ishirini tu. Tukifanya individual output assesment tutaona serikali inavyoibiwa. Namuunga mkono Rais asipandishe kabisa kwa miaka mitano na aanze sasa kuhakiki ufanisi wa kila mfanyakazi. Ikiwezekana mishahara ipunguzwe kabisa.