Mbona musiba anawadhalilisha watu kila Siku na hatusikii anatekwa?
Ni vigumu sana kutenganisha watekaji na wenye mamlaka nchini.
Utekaji wa Tanzania una sura ya kisiasa.
Nakushauri kama...
Mvuruga / Mvurugo etal.
Huu ni mchanganyiko wa chips (iliyorostiwa) kuku na pilipili fulani hivi very amazing !
Kuku (hasa wa kienyeji) hukaangwa vyema kabisa then hutumbukizwa kwenye chips rojo...
Kama kuna mwana ccm anaviunga hivi vitendo mkono atakuwa mpumbavu.
(I)Kama hivi vitendo vinafanywa na serikali,kwa kweli mnaiua ccm.na wastafu wameufyata utafikiri na walitishiwa kutekwa.
Habari wa jf, Mimi binafsi, sinaga longolongo. Mzee JK inabidi tumuenzi hana mwingine wa kumlinganisha nae, naomba Mungu anisamehe kama niliwahi kumsema vibaya
Habari zenu jamani Mabibi na Mabwana,nilikuwa napenda kuuliza kwa mwenye kujua eti sie waislamu funga yetu ya Ramadhani inaanza Kesho Jumatatu ama Keshokutwa Jumanne,Jaziba wekeni pembeni busara...
Kwanza nitoe wito kwa police kumwachia MTU huyu
Au hicho kikosi ambacho kazi yake ni kupambana na kuwateka wanasiasa wa upinzani wanaomkosoa rais na kadhalika wamwachie mtu huyu
Mdude Nyagali...
Alpha Lukeu strikes again and this time claimed to have resurrected 6 people and this time around a supposed medical doctor was around with their death certificates or something..
Source: SNBC
Habari za muda huu wakuu? Poleni kwa msiba wa mzee wetu.
Naomba niende kwenye hoja yangu, kuna hii dawa ya kuua wadudu aina ya Rungu imekua kimeo sana sijui kama TBS wanaliona hili.
Nimekuwa...
Simba ni mnyama mkorofi sana, yeye kazi yake ni kuwanyatia wenzake wasio na nguvu
Huwa anawatafuna au wale wengine wenye ubavu kidogo huwa anawatisha au kupambana nao
Mara nyingi huwa ni...
Habari wanandugu? Je kwa anaejua kuhusu Maharagwe aina ya Soya vizuri. Ni aina ipi hii ya Maharage ambayo kwa kawaida wengi hatuifahamu
Nimeskia Maharage ya Soya ambayo watu wanayatambua kama...
Ujumbe huu wa Askofu Dr. Bagonza umenitafakarisha sana
"Watu wema hunyakuliwa na Mungu wanapoanza kuwa karibu na watu dhalimu. Mungu hapendi wapoteze wema wao"
RIP REGINALD MENGI. Ulikuwa mwema...
Ajali ilitokea saa 9.20 mchana
RPC EDWARD BUKOMBE: Ajali ilitokea Kijiji cha Tengwe, Kata ya MKATA Barabara kuu ya Segera-Chalinze
Watu 6 wenye majeraha madogo madogo walipelekwa kituo cha Afya...
HABARI WAKUU.
Kusema kweli mimi hapa nilikuwa mmoja wa watanzania tusiopenda uzalendo hasa kwa upande wa Tasnia ya Movies lakini hilo nilikubaliana kutumikia utumwa huo wa kupenda filamu za nje...
Ni kuku mjinga ambae tangu atotoe, Hajawahi kuza vifaranga vyake!
Ni kuku ambaye hajui kutumia mbawa zake kufunika vifaranga vyake dhidi ya mwewe na lile paka jeusi lisilojulikana !
Ni kuku...
Kuna watumishi ambao wana maono katika kulijenga Taifa
Don't feed your hanger but feed your vission.
Usiishi Kama ndege wa angani ambao hawajui kesho yao....
Tunakoelekea hakujakaa vizuri sana.. Ikibidi ishi kimachale kama jasusi.. Yani makinika hata kwa vitu vidogo kabisa.
Dunia imebadilika mno watu wazima wanapotea, wanawake wanapotea watoto...
Mwezi juni mwaka huu Baba mtakatifu Francis anategemewa kutangaza makardinali wapya na kuna tetesi kuwa anaweza kuongeza idadi ya makardinali wanaochagua papa kutoka idadi ya ukomo 120 na pia...