Kaskazini ya Tanzania : Si kitimoto tena , Mvuruga ndo habari ya mjini hasa wadada na inagombanisha sana watu !

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mvuruga / Mvurugo etal.

Huu ni mchanganyiko wa chips (iliyorostiwa) kuku na pilipili fulani hivi very amazing !

Kuku (hasa wa kienyeji) hukaangwa vyema kabisa then hutumbukizwa kwenye chips rojo (pilipili , hoho , carrot , nyanya , vitunguu etc).

Mademu wa kaskazini wanapenda sana hii tamu.Usipompa, imekula kwako *****!

Moshi na Arusha ni maeneo wanawake wanapenda mambo mazuri tu always ; daily! Shit.

Wake za watu wanapigwa sababu ya hiki chakula!

Alamsiki.
 
Kwa hyo hao wake zawatu wakishakula mnaenda kuwavuruga dah kwel maisha yanaenda kasi sana unakula mvuruga unaenda kuvurugwa
 
Kapicha basi
Mvuruga / Mvurugo etal.

Huu ni mchanganyiko wa chips (iliyorostiwa) kuku na pilipili fulani hivi very amazing !

Kuku (hasa wa kienyeji) hukaangwa vyema kabisa then hutumbukizwa kwenye chips rojo (pilipili , hoho , carrot , nyanya , vitunguu etc).

Mademu wa kaskazini wanapenda sana hii tamu.Usipompa, imekula kwako *****!

Moshi na Arusha ni maeneo wanawake wanapenda mambo mazuri tu always ; daily! Shit.

Wake za watu wanapigwa sababu ya hiki chakula!

Alamsiki.
 
Kapicha basi
Kitu hicho
Screenshot_20190404-213240~2.jpeg
 
Vuruga Original: mchanganyiko wa chips na nyama ya foil na hayo mapilipili hoho,vitunguu etc
 
Mvuruga / Mvurugo etal.

Huu ni mchanganyiko wa chips (iliyorostiwa) kuku na pilipili fulani hivi very amazing !

Kuku (hasa wa kienyeji) hukaangwa vyema kabisa then hutumbukizwa kwenye chips rojo (pilipili , hoho , carrot , nyanya , vitunguu etc).

Mademu wa kaskazini wanapenda sana hii tamu.Usipompa, imekula kwako *****!

Moshi na Arusha ni maeneo wanawake wanapenda mambo mazuri tu always ; daily! Shit.

Wake za watu wanapigwa sababu ya hiki chakula!

Alamsiki.
Kwa nini mnawadhalilisha wanawake kiasi hiki ?au umegundua mkeo anagongwa kwa chipsi ? Pole mkuu...
 
Watu wa mikoani sijui mnachelewaga wapi! Any way naona taratibu mnaacha udaga, ndizi, mbege na kitimoto mnahamia kwenye vyakula vya Mjini Dar slaam
 
Tuelekeze sisi tunaoishi Dar inapikwaje
Maana huku bado chips kuku ni ulimbo wa kuwapata mademu wengi
 
Mvuruga / Mvurugo etal.

Huu ni mchanganyiko wa chips (iliyorostiwa) kuku na pilipili fulani hivi very amazing !

Kuku (hasa wa kienyeji) hukaangwa vyema kabisa then hutumbukizwa kwenye chips rojo (pilipili , hoho , carrot , nyanya , vitunguu etc).

Mademu wa kaskazini wanapenda sana hii tamu.Usipompa, imekula kwako *****!

Moshi na Arusha ni maeneo wanawake wanapenda mambo mazuri tu always ; daily! Shit.

Wake za watu wanapigwa sababu ya hiki chakula!

Alamsiki.

Ngoja nije kujitafutia wake za watu.
 
Sasa Hiyo Mvuruge Lazima Taifa Lielekee Kwenye Uhaba Wa Nguvu Za Kiume, Unakulaje Mvuruge
 
Back
Top Bottom