Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Ajali ilitokea saa 9.20 mchana
RPC EDWARD BUKOMBE: Ajali ilitokea Kijiji cha Tengwe, Kata ya MKATA Barabara kuu ya Segera-Chalinze
Watu 6 wenye majeraha madogo madogo walipelekwa kituo cha Afya cha Mkata na wengine 9 wenye majeraha makubwa walipelekwa Muhimbili kwa matibabu zaidi. Kati ya walio nusurika kifo wanawake walikuwa 15, wanaume 3.
Source: The Citizen
www.thecitizen.co.tz

Passengers injured after bus veers off the road
Dar es Salaam. Police in Tanga have said 18 passengers have survived on Sunday, May 05, 2019, after Kilimanjaro Express bus plying between Arusha and Dar es Salaam veered off the road and overturned.