Mwalimu mmoja wa kiume maarufu kwa jina la Mpogolo apiga mwanafunzi wa kike kidato cha nne fimbo zisizo na idadi hadi kulazwa na leo siku ya tatu huyo mwanafunzi bado kalazwa..
Inaelezwa kwamba...
Nasemea aliekuwa waziri mkuu awamu ya nne kule mwanzo baada ya kujiudhulu ndugu lowassa sijaona au kusikia hata akiwafariji ndugu jamaa na marafiki wa mpendwa wetu mengi je, ina maana bwana huyu...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo kilichopewa jukumu la kuhakikisha kuwa Utumishi wa Umma unakuwa na watumishi wenye weledi wa hali ya juu kupitia mchakato wa ajira. Lengo la...
Leo nimepigwa faini ya uonevu kabisa sh 61,800 ,kisa nimegesha Gari pembeni kabisa ya barabara ilinpokee mzigo alie niletea nikafungua mlango Na kushuka kumpokea ile napanda kwenye Gari nakutana...
Idadi ya watu walioripotiwa kujiua inashtua, inawezekana matukio haya yametokea kwa bahati mbaya au ni ushirikina, bado limebaki kuwa jambo linaloshangaza.
Kwa Kenya simulizi za namna hii, ni...
jack +machache
dada ake jack +pride tanzania
pride tz +pesa uchaguzi 2015
baba +party miaka ileeee... mza
rug'e +clouds =sahara media +ipp (media)
nani anawajua braza zake han'stone sura zao?
OK...
Angalia vizuri hii picha!
Hapa ndipo atakapozikwa aliyekuwa Bilionea na Kipenzi cha Watanzania Dr Reginald Mengi.
Shughuli ya Uchimbaji Kaburi inaendelea,Kati ya hao Vijana unaowaona kuna...
Leo tarehe 18 april 2017 ilikuwa hukumu ya kesi yangu ya uchochezi mimi na wenzangu wawili.
Kesi hiyo ambayo ni CRIMINAL CASE NO.128 OF 2016 imetolewa hukumu leo tarehe 18 april 2017 katika...
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini zimesababisha adha ya usafiri eneo la kutoka Mbweni kwenda Kiembeni Mapinga wakazi wa eneo la Kiembeni ambao wamekua wakipata huduma za Afya katika Hospital ya...
Muugwana BLOG naipenda sana Blog yenu maana ina vichwa vya habari na unasoma habari fupi fupi unajua mambo mengi kwa mara moja.Ila mna tatizo moja tu.Mnakoseaga sana kuandika misamiati au spelling...
1. Kuzifahamu na kuzitumua fursa ambazo wengine hawakuzifahamu. Dk Mengi alianza ujasiriamali katika miaka ya 1980, hapo tayari alishaziona fursa, huku wengine wakiwa wamelala na ujamaa wao...
Salaam wakuu, Niko kwenye gari naelekea kazini, ile napanda gari Mbezi mwisho kwa Yusufu saa 11:40 imenyesha mvua balaa, na hii Barbara haina sehem ya kujinga kwa abiria wanaosubili daladala, ni...
Akiwa Karimjee ktk shughuli za kumuaga aliyekuwa mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP.
Makonda amedai hajawahi kuona mchqgga anaesaidia walemavu na kusema Mengi alikuwa wa kipekee Katika...
Wapendwa
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu Mkuu aliyeumba Mbingu na Nchi.
Nafurahi kuwajulisha kuwa Hali ya Hewa ya Arusha sasa imerejea katika Ubora wake wa Asili.
Ubaridi ulee Tunaoupenda na...
0692208323: GRR GRR GRR
G.: HELLO
0692208323: Habari, Unaongea na mhudumu kutoka Vodacom, naongea na nani tafadhali
G.: Kama uko Vodacom ina maana huwezi kuona namba yangu na kujua mimi ni nani...
Hatua hii imechukuliwa kufuatia maji kujaa Mto Msimbazi hivyo kuhatarisha watumiaji wa vyombo vya usafiri na waenda kwa miguu
Huduma za mabasi ya BRT 'Mwendokasi' zimesitishwa kufuatia hali hiyo...
"SMS Kutoka 0789 18 97 51
Habari? mimi mwenye nyumba wako nitumie hela yangu ya kodi kwenye no hii ya Tigo 0713 33 59 75 na umekuwa kimya pasipo taarifa".