Wadau najua utaratibu wa Pensheni ya kila mwezi unaanza pale Mafao ya Mkupuo yanapotoka.Kutokana na Urasimu mkubwa unaofanywa na Mifuko ya Hifadhi nashauri wahusika waliangalie suala hili la...
Najua kuwa kuna Misiba ya Watu ambao huwa tunawapenda huwa inatuuma na kutugusa sana kwa kila hali hasa kutokana na ule umuhimu Wao Kwetu hasa pale walipokuwa Hai na yale mema ambayo walikuwa...
Kwanza nataka niseme mimi sio mshabiki wa "Askofu" Gwajima. Gwajima kwangu ni kama clown (mtanisamehe, sijui tafsiri yake kwa Kiswahili) ambaye anajitafutia riziki tu. Pia nashindwa kuelewa watu...
Tukutane hapa Kwa wale wote tuliompigia kura Rais Magufuli uchaguzi mkuu wa 2015 ila leo tunajuta kwanini tulimpa kura zetu.
Mimi najuta kwa yafatayo.
1. Kavuruga uchumi.
2. Kavuruga biashara
3...
Lately, what some may wrongly call natural disasters of the likes of cyclones,tsunamis,
tornadoes,volcanoes etc.,have increased dramatically. Inquisitive minds will surely wonder if these...
Assalam Aleykum Allhamatullah Ta'Allah Wabarakatuh.
Ama baada ya salamu ,rai yangu ya leo ni kuwahusia waislamu wote haswa kwa wale ambao wanafunga wajihepusha kabisa na mitandao ya kijamii haswa...
1. UKIWA NA HELA NA MAARUFU - unakufa nje ya nchi, unapokelewa uwanja wa ndege, watu wanajipanga uwanja wa ndege mpaka mochwari. Mwisho wa siku unasafirishwa kijijini kwenu. Unazikwa unaacha Gumzo...
Ndesamburo aliyejitolea kwa hali na mali kwa mji wa moshi na kusaidia CCP chuo cha polisi siku ya mwisho walikataa hata kukodisha brass band yao kwenye msiba wake,huwa wanakodisha kwa 300,000...
Mimi nimekuwa ni mchezaji mzuri sana wa michezo hii huku nikishuhudia mwenzangu wakijinyakulia mamilioni na mie kuambulia patupu au kula vielfu kumikumi tu. Sasa naanza kupata mashaka kama je,hii...
Siku ya Jumatano mwili utasafirishwa kupelekwa Moshi Machame, ibada ya mazishi ni siku ya Alhamis wilayani humo kanisa la Kisereni (KKKT)- Mwanasheria wa familia, Michael Ngalo.
=====
Mwili wa...
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima - Archbishop GWAJIMA anatarajia kufanya press conference na waandishi wa habari kanisani kwake-ubungo asubuhi ya leo ya tarehe 08/05/2019 kuanzia muda wa saa...
Wadau! zipo kafara na matambiko mbalimbali hufanyika kwa kuchinja wanyama kama vile ng'ombe na mbuzi.
Baadhi ya nyama hizo hugawiwa mtaani pia na kwenye masinagogi kama msaada!
Je; kuna madhara...
Kiukweli huu anaouonyesha RC wa Njombe mh Ole Sendeka ndio kile wahenga wanaita urafiki wa kufa na kuzikana.
Mungu mbariki mzee Ole Sendeka
Amina!
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka...
Abebe Aemro Selassie
NILISIKIA KWAMBA WALISEMA WATAPITIA ILE RIPOTI ILIYOVUJA SASA MBONA SIJASIKIA KWENYE PRESS HII YA MKURUGENZI WA IMF AKIZUNGUMZIA HILO LA MAPITIO, HAKUNA HILO SOMENI MAANDISHI...
Hapo nyuma ukinunua kifurushi cha air time au internet walikuwa
wanakupa ujumbe kamili wa SMS kwamfano: "umenunua kifurushi cha internet airtime dakika kadha za mtandao kadha na sms kadhaa MB 500...
Kama mnavyojua kifo hakina muda wala saa ni wakati wowote kinakuja hakina taarifa wala alarm ya kukujulisha,
Je, ikitokea umekufa leo utawaachia nini Watoto/Ndugu zako kama kumbukumbu au msaada...
hello JF again,
Sipendi kuwa mnafiki ila wababa wa ndoa za kikristu mkichepuka hakikisheni ham'nogewi' huko mpaka kuzaa nje ya ndoa….
Nimeona uselfishness wenu mnazalisha nje,mnasambaratisha...
Kufuatia haya matukio mimi naweza sema yakishenzi yanayofanywa na walio watanzania wenzetu kwa kuzani wao ni bora kuliko sisi sasa ifike mwisho. Leo kapotea A, kesho B, kesho kutwa C next you and...