Wachaga wenzangu kuweni makini, be vigilant.

Status
Not open for further replies.

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Ndesamburo aliyejitolea kwa hali na mali kwa mji wa moshi na kusaidia CCP chuo cha polisi siku ya mwisho walikataa hata kukodisha brass band yao kwenye msiba wake,huwa wanakodisha kwa 300,000 lakini waligoma hata mbowe alipopiga simu ngazi za juu ilishindikana, wakalimit hadi route za jeneza kupita kwa kifupi mtu aliyewapenda na kufurahia kile chuo kuwepo moshi wali m treat kama adui akiwa kwenye jeneza
Mbowe alilalamika sana kwenye mazishi akaongelea hata jinsi wachaga walivyo targeted this time.JANA MMEMSIKIA DAUDI BASHITE MWENYEWE NAIBU RAIS, ni kwamba mchaga waliyekuwa wanamuona ni wa kipekee keshafariki mliobaki kuweni makini.NARUDIA TENA KUWENI MAKINI,kama mna vihela vinawawasha kavihifadhini hata nairobi maana ni hatari danger, sijui mlimfanyaga nini bashite alipokuwaga anazugazuga hapo chuo cha ushirika.
 
Chuki ya Bashite kwa Wachagga imeizidi ile ya Hitler kwa Wayahudi. Siyo kwa chuki ile aliyoonesha. Hadi msibani?
KIUKWELI si utani wenye hela nyingi halafu wachaga wawe na plan b hata kuzihifadhi nje ya nchi,ile kauli inamaanisha kuna kimbunga kinakuja,chuki hizi ni za hali ya juu,jamaa wameamua kwa kweli
 
HAKUNA anayechukia wachagga ila wanajichukia wenyewe kwa usanii wao, angalia mademu wao kwa mfano walivyo asaliti wa mapenzi kisa hela. Wako radhi kuua mwanamme ili warithi mali wawagawie kaka zao wafanye biashara huku wakikuza ukoo wao.
 
Naona untaka hata ambao hawakuwa wamemsikia Makonda, amesema Nini kuhusu uchaga wakatafute wamsikie.
Poleni mlio wa kabila hilo. Na mnaona fahari kuitwa hivo.
Wachaga wanapigwa kwa maneno na propaganda kila kona kwasababu ya wao kujiona they are special tribe.
Wakati uhalisia mtu ni mtu tu, na tabia yake huweza kubadilika kutokana na mazingira.
Kwamfano mchaga aliezaliwa mwanza hawezi kufanana hata kidogo na yule wa aliyezaliwa Marangu huko.
Kwahiyo wachaga hawa hujisifu kwakuwa wao ni wachaga tu, utafikiri kuitwa wao ni Chaga kuna kitu wanafaidika nacho.
Baba wa taifa alipinga kwa nguvu zote upuuzi huu wa kujisifu kwa ukabila.
Nyie mnauendeleza kila uchao, Mara Chugga, Ngarenaro na kila aina ya majigambo.
Unaona sasa watawala tena wangazi za juu wanawashusha vyeo.

Alfof Hitler aliua wayahudi sio kwamba alikuwa hawataki, ni kwasababu wao walijiona ndio the best race in the world.
Akawaonesha kuwa wao si chochote kwa kuwateketeza kwa namna mbalimbali.
Ukibarikiwa tulia. Mdomo wa nini?
Haya and Chaga, mnachukiwa kweli, hata mitandaoni humu tunaona kwasababu gani?
kujisifu.
Wasukuma ni kabila kubwa lakini hakuna mtu anashida nalo, Nyamwezi, Wanyakyusa, Wahehe, kwasababu ya Unyenyekevu.
Jifunzeni kuwa hekima. Na muwafundishe watoto wenu wawe na upendo kwa watu wote. Sio ukanda mnaoundekeza.
Wasukuma nao wameanza kuiga ujinga wenu.
Serikali inapaswa Kutunga Sheria ili mtu akionekana anazungumzia ukabila Chap ashugulikiwe. Hivi vitu vya kijinga vinatugawa kidogo kidogo.
 
Naona untaka hata ambao hawakuwa wamemsikia Makonda, wakatafute alisema kitu gani kuhusu wachaga.
Poleni mlio wa kabila hilo.
Ya wachaga nchi wanapigwa kila kona kwasababu ya wao kujiona they are special tribe.
Wakati uhalisia mtu ni mtu tu, na tabia yake huweza kubadilika kutokana na mazingira.
Kwamfano mchaga aliezaliwa mwanza hawezi kufanana hata kidogo na yule wa aliyezaliwa Marangu huko.
Kwahiyo wachaga hawa hujisifu kwakuwa wao ni wachaga tu, utafikiri kuitwa hivo Kuna kitu wanafaidika nacho.
Baba wa taifa alipinga kwa nguvu zote upuuzi huu wa kujisifu kwa ukabila.
Nyie mnauendeleza kila uchao, Mara Chugga na nini. Unaona watawala tena wangazi za juu wanawashusha vyeo.

Alfof Hitler aliua wayahudi sio kwamba alikuwa hawataki, ni kwasababu wao walijiona ndio the best race in the world.
Akawaonesha kuwa wao si chochote kwa kuwateketeza kwa namna mbalimbali.
Ukibarikiwa tulia. Mdomo wa nini?
Haya and Chaga, mnachukiwa kweli, hata mitandaoni humu tunaona kwasababu gani?
kujisifu.
Wasukuma ni kabila kubwa lakini hakuna mtu anashida nalo, Nyamwezi, Wanyakyusa, Wahehe, kwasababu ya Unyenyekevu.
Jifunzeni kuwa hekima. Na muwafundishe watoto wenu wawe na upendo kwa watu wote. Sio ukanda mnaoundekeza.
Wasukuma nao wameanza kuiga ujinga wenu.
lini mnaanza kuwaua sasa ili wajifunze adabu ? umeme mlitupandishia bei ya luku si ni vyema ukatwe kabisa ili tutie adabu,mnahangaika nini na kule kaskazini si muachane nako? au mnajipendekeza?hangaikeni na hao wenye adabu MAKENGE MAJI NYIE.halafu haitwi makonda,Paul M ni mtangazaji wa radio ya aden rage kule tabora,nenda igoma kaulize story ya jinsi bashite alivyochukua cheti chake kwenda ku apply u polisi ccp akanyimwa,baada ya kutusua dar alivyomtelekeza yule mlemavu deluxe hotel baada ya kashfa ya jina kuibuka akampigia simu kumpooza hela na kumtisha anyamazae kimya, jina lake ni daudi bashite kamuulize meya mstaafu wa mwanza Mzee khamese aliyemlea kama house boy wake.ACHA UKUKU MAJI
 
HAKUNA anayechukia wachagga ila wanajichukia wenyewe kwa usanii wao, angalia mademu wao kwa mfano walivyo asaliti wa mapenzi kisa hela. Wako radhi kuua mwanamme ili warithi mali wawagawie kaka zao wafanye biashara huku wakikuza ukoo wao.
ahaa kumbe hiyo ndo shida, basi sawa kama wanachukiwa kwa hilo basi makabila mengine yaliyobaki yenye mademu wenye adabu yawe rewarded yakajengewe ma flay overs kama zawadi wakati WACHAGA WANATENGWA NA KUADHIBIWA KWA KOSA LA MADEMU ZAO KUTOKUWA WAAMINIFU
 
lini mnaanza kuwaua sasa ili wajifunze adabu ? umeme mlitupandishia bei ya luku si ni vyema ukatwe kabisa ili tutie adabu,mnahangaika nini na kule kaskazini si muachane nako? au mnajipendekeza?hangaikeni na hao wenye adabu MAKENGE MAJI NYIE.halafu haitwi makonda,Paul M ni mtangazaji wa radio ya aden rage kule tabora,nenda igoma kaulize story ya jinsi bashite alivyochukua cheti chake kwenda ku apply u polisi ccp akanyimwa,baada ya kutusua dar alivyomtelekeza yule mlemavu deluxe hotel baada ya kashfa ya jina kuibuka akampigia simu kumpooza hela na kumtisha anyamazae kimya, jina lake ni daudi bashite kamuulize meya mstaafu wa mwanza Mzee khamese aliyemlea kama house boy wake.ACHA UKUKU MAJI
Hii ni nchi Mkuu.
Mtawala wake kwasasa ni MAGUFULI. anatawala kila nukta ya huko unaita kaskazini.
Sasa sijui mtu kwake anajipendekeza vipi?
Acheni Misifa ya kipuuuzi haiwasaidiii!!!
 
Ndesamburo aliyejitolea kwa hali na mali kwa mji wa moshi na kusaidia CCP chuo cha polisi siku ya mwisho walikataa hata kukodisha brass band yao kwenye msiba wake,huwa wanakodisha kwa 300,000 lakini waligoma hata mbowe alipopiga simu ngazi za juu ilishindikana, wakalimit hadi route za jeneza kupita kwa kifupi mtu aliyewapenda na kufurahia kile chuo kuwepo moshi wali m treat kama adui akiwa kwenye jeneza
Mbowe alilalamika sana kwenye mazishi akaongelea hata jinsi wachaga walivyo targeted this time.JANA MMEMSIKIA DAUDI BASHITE MWENYEWE NAIBU RAIS, ni kwamba mchaga waliyekuwa wanamuona ni wa kipekee keshafariki mliobaki kuweni makini.NARUDIA TENA KUWENI MAKINI,kama mna vihela vinawawasha kavihifadhini hata nairobi maana ni hatari danger, sijui mlimfanyaga nini bashite alipokuwaga anazugazuga hapo chuo cha ushirika.
Huu uzi ni wa kibaguzi na wenye kujenga chuki dhidi ya kundi fulani na dola.

Wewe mleta mada ni mpumbavu sana.

Cc.
 
lini mnaanza kuwaua sasa ili wajifunze adabu ? umeme mlitupandishia bei ya luku si ni vyema ukatwe kabisa ili tutie adabu,mnahangaika nini na kule kaskazini si muachane nako? au mnajipendekeza?hangaikeni na hao wenye adabu MAKENGE MAJI NYIE.halafu haitwi makonda,Paul M ni mtangazaji wa radio ya aden rage kule tabora,nenda igoma kaulize story ya jinsi bashite alivyochukua cheti chake kwenda ku apply u polisi ccp akanyimwa,baada ya kutusua dar alivyomtelekeza yule mlemavu deluxe hotel baada ya kashfa ya jina kuibuka akampigia simu kumpooza hela na kumtisha anyamazae kimya, jina lake ni daudi bashite kamuulize meya mstaafu wa mwanza Mzee khamese aliyemlea kama house boy wake.ACHA UKUKU MAJI
Hapa n kwel mzee!nipo karbia na kwake hapa igoma,hakika jamaa anachukiwa!na za chin ya carpet n kwamba igoma inakua jimbo afu yy atagombea
 
Nyie mnauendeleza kila uchao, Mara Chugga, Ngarenaro...
.
.
Poster hiyo ni Arusha babuu, Kilimanjaro nzima hakuna ngarenaro Wala chugga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom