Kubenea anadaiwa nini na Mengi? Na je Bashite ndiye alikuwa shahidi wa hilo deni?

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,304
12,964
Jamani ni deni gani analodaiwa Kubenea kwa Mengi?

1091499
 
Nafikiri alipaswa aseme mwenyewe kuliko kusubiri kuambiwa, ni kawaida ili kusudi watakaoteuliwa kusimamia mali za mzee wawe aware na deni hilo. Na ikumbukwe ukisikia Mengi anamdai mtu usidhani ni buku au msimbazi, ni mamilioni ya hela. Angesema tu mwenyewe kuwa binafsi mzee ameondoka lakini ananidai pesa, kwahiyo watakaokuwa wasimamizi wa mali za mzee wajue kuwa mzee ananidai na nilimuahidi kumlipa siku flani, hivyo tuendelee kuwasiliana kwa ukaribu.
 
Back
Top Bottom