Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
hello JF again,
Sipendi kuwa mnafiki ila wababa wa ndoa za kikristu mkichepuka hakikisheni ham'nogewi' huko mpaka kuzaa nje ya ndoa….
Nimeona uselfishness wenu mnazalisha nje,mnasambaratisha furaha na Amani ya watoto wenu…
Watoto wanakua wakubwa wakichukiana...veeery resentful and confused.....
ANGALIA NDOA/FAMILIA NYINGI ZA KIKRISTU AMBAPO BABA AMECHEPUKA AKAZAA NJE,ZILIVYOKOSA AMANI????
usinibishie Becky wewe chunguza kwa muda wako..lol 🤓🤬
NA NYIE VIONGOZI WA DINI MNAOFUNGISHA NDOA ZA MICHEPUKO....KISA WANATOA SADAKA ZA KANISANI AU KUJIUNGA NA SHUGHULI ZENU..MUNGU ANAWAONA...