.... Yaani nilikuwa kila baada ya siku mbili naingia saloon kunyoa Ndevu na nywele ... Scrub Kwa sana ... Thubutu sasa hivi siingii tena saloon Kwa ajili ya kukata nywele au ndevu nanyoa...
Mwandishi wa Tanzania aliyetoweka Azory Gwanda ameorodheshwa miongoni mwa visa kumi vya dharura na kudi moja la muungano wa uhuru wa vyombo vya habari duniani.
Kulingana na gazeti la The Citizen...
Na Ahmed Rajab
TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi...
Badala ukae nyumbani sehemu salama wewe unataka kesho ukamsikie gwajima shauri yako illuminat wanataka damu Mara kesho lile kanisa linaanguka linatoa kafara watu 100 kwa kuangukia na mabati na...
Habari wanajamvi,poleni na majukumu na moja kwa moja naomba nijikite kwenye mada.
Tangu mida nadhani saa 10.00 jioni kumekuwa na kipindi Clouds FM redio,mada iliyopo hewani ni masuala ya uaminifu...
Historia ya bilionea mtanzania Dr. Reginald Mengi ilifungwa rasmi juzi 09/05/2019 baada ya kuzikwa katika kijiji alichozaliwa na kukulia. Kuna somo kubwa ambalo Mengi ametuachia wote waliokwenda...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja na Televisheni za Mtandaoni kuanzia leo...
Wadau Hamjamboni.
Huwa nakerwa sana naposikia watani zetu kule Kigoma wanajisifia eti kwao kunapatikana SAMAKI Watamu aina ya Migebuka. Migebuka jamani kama ilivyo kwa Kambare sio Samaki.
Ukweli...
Wakuu habari za jioni wazima wote.!!Ok twendeni kweny mada husika nchi yetu ya Tanzania imekutana na misiba ya watu maharufu zaidi ya watu 3 kama si wa 4.
Tunavyojua tukio la msiba ni jambo...
Mtu akifa, kwenye matangazo huwa tunaambiwa idadi ya watoto na wajukuu kama wapo(wanaotambulika)
Ila kwenye msiba wa Mzee Mengi sikusikia ameacha wajukuu wangapi! isitoshe ana watoto wakubwa wa...
Habari?
Kama heading inavyoonekana, Mimi ni mfanyabiashara wa Ice cream( Barafu) hizi za tsh 100, Swali ni kwamba hilo katazo la kutotumika mifuko ya plastic na hii pia inahusika?
Ahsanteni na...
Katika details pale TCRA imeonekana kuwa kuna watu ambao hawajaluwa noted na wanahisa kwa michuzi na lemutuzi je ni kina nani? Kwa nini hawajaweka hadharani?
Napenda kutoa shukrani zangu kwa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) ,kwa kuonesha utayari mara nyingine kunisaidia juu ya rufaa iliyokatwa tarehe 6/3/2019 na serikali ya...
Angalizo - Binafsi pamoja na kwamba sijawahi kuwaelewa mashoga, sijawahi kuwa na chuki dhidi yao.
Naomba nielezee kisa kimoja cha kweli kabisa nilichowahi kukishuhudia. Kilitokea siku moja...
Khalifa Juma Bakari mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kigonsera amekutwa na mauti baada ya kuugua ghafla wakati akiwa kwenye mitihani ya kumaliza Kidato cha Sita
Mwanafunzi huyo alikuwa akisoma...
Hapo Vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, tarehe 5 October 2018,nilishaandika thread dhidi ya huyu Hakimu Benard Nganga, aliyengia mikononi mwa serikali ya awamu ya tano Kwa shauri la...