Hali ngumu mpaka nimejifunza kunyoa nywele

Hali ngumu mpaka nimejifunza kunyoa nywele

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
.... Yaani nilikuwa kila baada ya siku mbili naingia saloon kunyoa Ndevu na nywele ... Scrub Kwa sana ... Thubutu sasa hivi siingii tena saloon Kwa ajili ya kukata nywele au ndevu nanyoa mwenyewe kipara na kupunguza matumizi ... Hali mbaya
 
Karne hii bado tunashindana nani miongoni mwetu anaishi maisha mabaya zaidi? Hivi tunaekekea wapi? Tunarudi nyuma au tunaekekea mbele? Hideous!
 
Back
Top Bottom