Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Mtu akifa, kwenye matangazo huwa tunaambiwa idadi ya watoto na wajukuu kama wapo(wanaotambulika)
Ila kwenye msiba wa Mzee Mengi sikusikia ameacha wajukuu wangapi! isitoshe ana watoto wakubwa wa kuoa na kuolewa.
Au sikusikia vizuri?
Ila kwenye msiba wa Mzee Mengi sikusikia ameacha wajukuu wangapi! isitoshe ana watoto wakubwa wa kuoa na kuolewa.
Au sikusikia vizuri?