MO katika Misiba inakuaje...??

MO katika Misiba inakuaje...??

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,652
Reaction score
3,192
Wakuu habari za jioni wazima wote.!!Ok twendeni kweny mada husika nchi yetu ya Tanzania imekutana na misiba ya watu maharufu zaidi ya watu 3 kama si wa 4.

Tunavyojua tukio la msiba ni jambo ambalo la kudhunisha sana mfiwa akifiwa anatakiwa kufarijiwa na watu ambao wanamfahamu au wanajua au wanamzunguka.

Lakushangaza sasa tunatajiri katika nchi yetu yy ni mtu mkubwa sana anaongoza kwa utajiri Tanzania anaitwa MO uyu jamaa mbn atumuelewi watanzania wenzake yy alitekwa tulipaza sauti na kumuombea apatikanike ila kafariki Luge ajaenda wala ajaongea chochote kile kafariki Kibonde ajaenda wala hata kupost tukasema sawa.

Lakini kafariki Mengi tajiri mwenzake hata kwenda ajaenda hata kupost ajapost yy yuko na simba tuu mbn tunamuona kama vile mbaguzi au kwakuwa wanaokufa ni weusi sio waahindi mbn apost chochechote wala kuguswa kwann anakuwa hivi au watu walifariki ana mabifu nao anaugomvi nao aisee Uyu tajiri MO tuna shindwa muelewa Watanzania mana tumezoea nchi yetu ya upendo na Amani tunajaliana katika shida na raha...
 
Mtoa mada unafahamu alipo kwa sasa? Umezipata taarifa za yeye kutotoa rambirambi kwa familia?
 
Huenda imani yake hairuhusu sifa msibani..kama kashatuma salam za rambi rambi kwa official letter au katuma mjumbe..any way
 
Nchi za wenzetu utakao wakuta msibani ndugu na jamaa labda na majirani. Tanzania mimi hushangaa mtu anafunga biashara kisa jamaa ya rafiki yake amefariki anakwenda msibani tena mikoani. Halafu mnataka maendeleo ya maisha

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
IMG_20190511_172406.jpg
 
Back
Top Bottom