Kipanya anena kuhusu korosho

Kipanya anena kuhusu korosho

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,439
1093930


My take
Serikali ya CCM, mtawaeleza nini wananchi wa Mtwara kuhusu korosho mtakapokua mnaomba kura 2020?
 
Wajinga, watasahau kwa kofia, kanga, vitambaa, skafu , elfu tano, NIPA, ulaka na mabibo and the like! etc.! Wajinga narudia, wajinga! Watu waa Ntwara na Lindi wajinga
Akitokea jasiri akahoji, atatekwa na kuvunjwa fuvu la kichwa.
 
View attachment 1093930

My take
Serikali ya CCM, mtawaeleza nini wananchi wa Mtwara kuhusu korosho mtakapokua mnaomba kura 2020?
Mkuu tatizo Elimu, elimu hasa vijijini mjini kidogo watu wanaweza kusimamia maamuzi yao sababu kuna wengi wa watu walio elimika ila vijijini ufinyu wa elimu na wengi kufata mkumbo
 
Mkuu tatizo Elimu, elimu hasa vijijini mjini kidogo watu wanaweza kusimamia maamuzi yao sababu kuna wengi wa watu walio elimika ila vijijini ufinyu wa elimu na wengi kufata mkumbo
Hii ndiyo bakora wanayo tuchapa nayo mpaka kizazi kijacho.
 
Walijidanganya ati dhahabu nyeupe sasa mzigo unaoza ghalani na mvua hizi lazima zivunde.. Amini nawaambia msimu ujao hawatataka kusikia neno KOro show kama wanavyochukia neno VI wonder
 
Hivi hizo koroshow za mabilioni hadi mwezi huu wa 5 bado zipo tu?au walishauza juu kwa juu! Maana tumeshaingia msimu mwingine
Wakulima bado wana korosho kwenye maghala na wanategemewa kufyeka mashamba ili ndimu ujao mazao yaongezeke.
 
Nash MC Zuzu..
Koro show
 
Back
Top Bottom