Wakuu,
Baada ya kuhanya sana huku na kule na kuona mipango ya kuweza kujenga mjini kabla ya kununua usafiri inazidi kwenda kombo kwa upande wangu,
Nataka nijilipue tu ninunue gari ya watu wa...
Habari y amda huu
ni mda kidogo umepita pasipo kuleta andiko lolote,
Lakini leo naleta habari moja inayowasumbua watu wengi ambao huenda wanakuwa wameathirika na uchawi au lah.
Mchawi...
Habari zenu wanaJF.
Niende moja kwa moja kwenye mada,ugonjwa wa denguo ni ugonjwa ambao umekuwa tishio sana kwa sasa hapa nchini hususani maeneo ya Dar es salaam na Tanga.
Ugonjwa huu ulikuwepo...
Nimesikitishwa sana na tukio la mama mmoja kuwa mtoto wake amelawitiwa na mpaka sasa bado anajinyea halafu mtuhumiwa kafungwa maisha azabu ndogo sana hii kama ningekuwa rais ningemfuata na AK 47...
Kuna tofauti kubwa sana ya priorities ya vijana wa mjini (Dar) na wa mikoani.
Vijana wa mikoani, wanaanza na viwanja, mashamba, nyumba, biashara.
Mafanikio ya kijana wa sasa
1.iPhone
2. Macbook...
Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba...
SERIKALI KUKATA RUFAA KESI YA WAKURUGENZI KUSIMAMIA UCHAGUZI
- Imewasilisha Mahakama ya Rufani notisi ya kukata rufaa ili sehemu ya uamuzi huo upitiwe upya
- Yasema hukumu ya Mahakama Kuu...
Serikali imeondoa katazo la kutokuvua samaki wazazi kuanzia sentimita 85 hivyo kuanzia kesho wavuvi watavua samaki hao bila kukamatwa.
Aliyetangaza kuondoa katazo hilo katika kijiji cha...
Wahudumu wa siri wa taifa anapatikanaje?
Huduma ya siri ni taaluma inayohusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama kwa njia za siri (clandestine methods). Japo kwa kiswahili ushushushu ni...
MGODI wa dhahabu wa Buzwagi wilayani Kahama ulioko chini ya kampuni ya Acacia, unatarajiwa kufungwa rasmi baada ya madini hayo kumalizika.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha, amesema...
Mwanamke mmoja raia wa Tanzania aitwae Sabiha Abdi,mapema usiku wa kuamkia leo amekamatwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Shihatrapati Shivaji Maharaji mjini...
Imam mkuu wa Ghana ni mtu wa maneno machache lakini kiungozi huyo wa dini ya kidini mwenye umri wa miaka 100 ana uwezo wa kuwaleta watu pamoja.
Aliamua kusherehekia siku yake ya kuzaliwa kwa...
Kampuni ya Vinywaji baridi bora kabisa Duniani ya Coca Cola inafikiria kuja na Soda ' Maalum ' ambayo itakuwa imetawaliwa na ' Mmea ' kamili wa Bangi / Bange ili iweze kuongeza Soko lake kwa Watu...
Info..
Leo wakati tukiwa katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya dodoma hadi babati, akasimama yule mama wa kikondoa na kumsomea mheshimiwa president JP aya za Mwenyezi Mungu kutoka katika...
Kinachoendelea ndani ya nyumba jijini Dodoma na kauli ya zitto juu ya Serikali kusitisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, tumefika patamu.
CC blix22 👇...
Mradi huu ulizinduliwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya nne, mh Dr. J. M. Kikwete na aliyekuwa waziri wa ujenzi na mgombea urais, mh Dr. J. P. Magufuli. Mradi ni sehema ya ujenzi wa Namanga - Taveta...
Mafuriko kituo cha Mwendokasi Dar, kariakoo,
mtaa wa msimbazi, kinondoni, Morocco na maeneo mengine
mvua bado ni nyingi mno Mheshimiwa Makonda elekeza wananchi wako ATTACH=full]1096198[/ATTACH]
*TAFAKURI 10 MTEKWAJI WA MWAKA MDUDE*
*1. Akamatwa na Vyombo Vi3 vya Dola:*
Kadhia ya utekaji, kujiteka na/au kutekwa Mdude inaanzia hapa. Ukisoma tweets za mwanzo za wafuasi wa Chadema...