MSAADA WA KUJUA HAYA MANENO

MSAADA WA KUJUA HAYA MANENO

Inategemea.wengi watazani Ni kinyume Cha mtu tajiri..lakini sisi tunajua unaweza Kuwa na mihela na UKAWA mnyonge vile vile.ukaja kwetu sisi tunakuchukulia qa kawaida..sisi tunataka dunia iwe sehemu nzuri so tunafikiria Zaidi kuhusu utajiri wa roho
 
Mwananchi wa Kawaida ni kama wewe.

Mnyonge ni mimi.

Nadhani umeridhika...!
 
Back
Top Bottom