Shinda Uchawi Bila Uchawi(The real Hidden World)

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Habari y amda huu
ni mda kidogo umepita pasipo kuleta andiko lolote,
Lakini leo naleta habari moja inayowasumbua watu wengi ambao huenda wanakuwa wameathirika na uchawi au lah.
Mchawi anapokufanyia uchawi haina maana yakuwa wewe ni mchawi(achana na wale walio wachawi)
Unapodhurika na uchawi sio lazima uwe mchawi, pia kujikomboa ama kuepukana nao sio lazima uwe mchawi
Unaweza kubakia katika hali yako ya kawaida na ukaepuka ama kujikomboa

Kuna kitu kinaitwa Evil Eye kijicho nadhani kiswahili kuna uzi ushawahi ongelea hapa kuhusu hii kitu( naomba muweke link chini watu waweze kuupitia na kujua)
Sasa leo tutaenda kuongelea juu ya kujua kama umefanyiwa uchawi huu mbaya,

Mimi nitaongelea kujua kama umeathirika au lah na namna ya kuepukana nao ama kujikomboa,
hapa haturogi hata kidogo nikama unapoenda hospital unapewa dawa iliyopatikana kwa kuchanganya madawa kibao na ikawa tiba nk

Sas tunaanza utajuaje umerogwa kwa kufanyiwa EVIL EYE?(Ukiijua vyema evel eye weka maelezo hapo chini ilivyo)

Mahitaji
1.mafuta ya mzeituni
2.Bakuli
3.Maji

Njia
Unaweza kukaa sehemu yoyote iliyotulia na ukafaya hiki mda wowote ule
Weka maji yako ndani ya bakuli acha yatulie pasiwe na mawimbi ama mtikisiko ndani ya maji
Dondosha matone matatu ya mafuta ya mzeituni ndani ya maji mbalimbali

Angalia ndani ya mda mchache utaona
Mafuta yakiungana jua una hilo tatizo
Mafuta yasipoungana jua uko salama

NAMNA Y KUJIKOMBOA

Njia ya kwanza ndio njia Nzuri sana na kubwa ambayo naweza kukushauri kuitumia
-Unapaswa kufunga kwa maombi kwa siku tatu bila kula wala kunywa, omba kwa imani yako kwa Mungu wako
Siku ya kwanza unaweza ona kama utani ila zinazofuatia mbili baada ya mwili kupokea njaa you will pray automatic kwa kumaanisha
-baada ya siku tatu mshukuru Mungu kisha fanya test tena kama pale mwanzo

Njia ya pili kwa wale wanaona hawawezi kufnga
mahitaji
Msumari kama 4'
na limao chukua kubwa zuri lililokomaa
chukua msumari chukua na limao
Vuta pumzi ndani ukiwa umefumba macho hadi pumzi ijae katika mapafu
Itoe hio pumzi pole pole katika hali ya utulivu
rudia mara ya pili tena huku ukisafisha fikra zako
Vuta pumzi mara ya tatu huku ukijenga fikra kuwa lile limao ndio kijicho chenyewe(Evil eye)
unapoishusha pumzi anza kuingiza msumari ndani ya limao huku ukijua unaharibu kijicho
uzamishe wote lakini usitokeze upande wa pili
kisha lihifadhi limao mahali kwa siku tatu

Ukikuta limao limeanza kuharibika ama limeharibika jua umepona
ukiona liko vizuri tu
rudia tena hadi utapoona matokeo sawa.

maji unaweza yamwaga sehemu yoyote iliyosalama kama jalalani ama chooni
hata limao pia

haya niwatakie mapambano Mema

ANGALIZO
zipo njia nyingi ila mimi nazijua hizi na ndio nimeona salama na ndio nimewashirikisha
 
huo ni uchawi,,du msumari na limao................
shida zote za nini hizo,,,Damu ya Yesu ilishatukomboa..............
Msumari na limao ni uchawi kivipi ndugu?
Unaweza kuthibitisha?
 
Ndege kulia usiku sio la ajabu wao hukumbia mbio eti wamerogwa.... wenye haki ni wajasili... wameokoka... wanae Yesu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom