Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Yes hii ndiyo Tanzania mpya.Mafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
Rais atakempa makonda Uwaziri mkuu lazima atakuwa LemuntuzRC suluhusho la hili ndiyo mambo tutajayo kukumbuka nayo ukiwa Waziri Mkuu.
Pamependeza!Mafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemuPamependeza!
sijui hii habari ya viwanda ilifia wapi.Tanzania ya viwanda [emoji3][emoji3][emoji3]
nadhani wale ma Eng wa wilaya na mkoa bado wapo ofsini na Kama hawapo ni rahisi wakamatwe haraka sana wawajibishweH
Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
Mafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
Na wakome, maana wanatusmbua sana na mabasi yao!H
Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
[emoji1][emoji1][emoji1] Mkuu ramli chonganishi hii. Maulana aepushie mbali ili bakuli la mchango wa pango la ofisi lisije pita.Poleni sana wana Dar es Salaam kwa mafuriko hayo
Lile jengo lenye rangi kama kile chama kinachoongoza nchi mbona halionekani au ndiyo limezama kabisa?
"...Wayne Rooney & co welcomed by hordes of supporters as they arrived in the fishing village of Dar es Salaam"Mafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199