Hali ya barabara za kata Mbagala in mbaya sana,ujenzi uliosemwa ungeanza mwezi machine 2018,Hadi leo bado hats ukarabati haufanyiki,viongozi idara ya uhandisi temeke kimya,wawakilishi wetu...
Nilianza kutumia applications za weather forecasting zamani kidogo.Nimetumia kwa mfano Weather Channel ambayo imekuwa msaidizi wangu mkuu hasa kwenye Kilimo kwa kuwa siku hizi hali ya hewa...
Basi la Fikoshi lenye namba za usajili T 872 CJQ linalofanya Safari zake kati ya Karagwe na Mwanza limegonga tembo eneo la Byenturege Kitengure Wilayani Karagwe likitokea Mwanza.
Eneo hilo ni...
Katika hali ya kushangaza mgambo Hawa wamempiga mwanafunzi pasipo kujali swala la afya je wanayo mamlaka ya kutoa adhabu hizi hata kama mtu kakosea tujiulize Abdul Nondo saidia hili
Je! Wasumbuliwa na huyu mdudu mwenye karaha na maudhi tele...? Kama ndio usihofu dawa ama sumu ya kumuangamiza ni rahisi sana, nenda duka lilokaribu nawe nunua mijali miwili ya mafuta ys taa kisha...
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema dawa za Caripill na Papaya Platelet Booster hazitibu Homa ya Dengue kama inavyodaiwa. Pia dawa hizo hazijasajiliwa hivyo ubora, usalama na ufanisi wake...
Habari wana jF!
Jambo moja ni hakika, MAJI ndilo hitaji kubwa zaidi la wananchi wanaoitwa 'wanyonge' hasa wa vijijini baada ya mazao ya Chakula. Nimeishi kijijini nimeshuhudia hili. Wakati wa...
Hivi huwa wanapata faida au furaha gani wanapokusumbua?
Just imagine mtu anahakikisha usiku hulali, ni mwendo wa kukuchezea mahepe tu nkusugua na matako yake. Je, wanafaidika na nini?
Unakuta...
Kwa muda mrefu sasa channels nyingi za habari na burudani hazipo kwenye vingamuzi vyetu mf azam, jambo hili limetufanya kuhamia Chanel za Kenya ili kuangalia habari,mijadala mbali mbali na...
Ni kwanini Kibaka yoyote akiwa ' anakimbizwa ' na Polisi na akibahatika tu Kukimbilia kwenye Kambi yoyote ya Jeshi (JWTZ) basi wale Polisi wote nao hunywea, hugeuza walikotoka na kurejea Vituoni...
Habari ya leo ndg, samahani kuna Bwana Mmoja naomba nimpatie namba yako Yeye anatoka Katavi mkoa mpya yuko na wenzake anakuja kununua vtu vya ktamadun Sasa akawa ameniomba nmtafutie mtu mwaminfu...
Tumeshuhudia mradi wa Bandari ya Bagamoyo ikikataliwa kutekelezwa kwa sababu ya masharti waliyoweka Wachina kama kujipangia tozo, kusamehewa VAT, Kodi ya mapato, kodi ya huduma, wafanyakazi wao...
JE KUJENGA TU FENSI NI UENDELEZAJI ARDHI KISHERIA ?.
Na Bashir Yakub.
+255 784 482 959
Sote tunajua kuwa kutoendeleza ardhi adhabu yake ni pamoja na kufutiwa umiliki. Kufutiwa umiliki maana...
Hili suala ama ni hujuma za waziwazi ama za chini chini za mabenki haya kwa Uchumi wa Nchi yetu.
Nimeenda kwenye tawi la benki ya CRDB Kibamba yalipo makao makuu ya wilaya ya ubungo.! Kuhitaji...
Ni takribani wiki sasa sina umeme fundi amekagua akagundua tatizo liko kwenye Mita,kwamba umeme unaingia lakini hautoki
Tumetoa taarifa TANESCO Kibamba wakasema fundi atakuja na wakatupatia namba...
Nilipita maeneo ya Rafia/afrikana/mbezi nikakuta ambulance ikiwa na mgonjwa mahututi imezimika, wakiwa wanatengeneza, nikawashauri wafaurishe mgonjwa;
lakini nimeenda hadi bagamoyo nimerudi mda...
Kwanza kabisa naomba mnipe pole wanajamvi kabla hata ya kutoa maelezo yoyote yale.
Leo mida ya saa 6 mchana hv nlikua nakatiza mitaa flani hapa znz nikiwa natafuna zangu vikaranga tu vichache...
Wakuu habari za asubuhi,
Straight to the point,. Leo nimeota ndoto NATEMBEA JUU YA MAJI BAHARINI, je kwa wale wajuvi wa haya mambo hii ndoto ina maana gani? nitashukuru sana kwa ufafanuzi...