Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz.
Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza...
π Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono.
π...
Kumekuwa na kauli inayorudiwa mara kwa mara kwamba sababu ya Afrika kutokuendelea ni dini, na mara nyingi hoja hiyo hulenga zaidi Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha inapochunguzwa...
Nimeandika maarifa, nikimaanisha uwezo wa kutumia akili binafsi kuchakata mambo na kupata majibu sahihi zaidi na sio majibu sahihi kwani kila mtu anaweza kupata majibu ila sio wote wanauwezo wa...
Dar es Salaam, Juni 6, 2026 β Wizara ya Afya leo itahodhi Kongamano la PPP lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHIMBILI-CHPE). Tukio hili limeandaliwa kwa...
Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha...
Taifa Teule La Mungu Wa-israil Wamewakamata Watoto Wadogo wa Ki-Palestina Na Kuwaweka ndani jela Maisha..Aliyechukuwa video kwa siri akirikodi Sauti za Watoto wakati wa Sikukuu ya eid Wakitoa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mhandisi wa Maji wa RUWASA Wilaya ya Busega, Safiel Peter Senzota (37). Tukio hilo...
Asubuhi ya leo wakati nawasili kwenye kiosk changu cha matunda nikakutana na zogo. Kuna kitoto cha miaka kama kumi hivi kiliagizwa kikatume pesa ya marejesho kwenye namba iliyoandikwa kwenye...
ZIARA ya Rais Samia nchi Urusi imehitimishwa kwa kishondo sana jana baada ya Rais Putin kuongoza mkutano wa kundi kubwa sana la wafanya biashara
Maneno ya Rais Putin kumshukuru Rais Samia...
Hakikisha ua hili halikosi nyumbani kwako, chumbani kwako, ofisini kwako na darasani kwako!
1. Hili ua ni dili sana. Kwa kizungu linaitwa Snake Plant na kwa utani linaitwa (Ulimi wa Mama Mkwe)...
Watu wengi 'huzani' kufanikiwa ni kufanya kazi kwa bidii bila kujua kuwa kufanya kazi kwa bidii ni kujichosha tu.
Nataka nikuulize, mara ya mwisho kutembelea na kufanya sala fupi kwenye makaburi...
Sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano Tanzania inakua kwa kasi ya ajabu. Uwekezaji wa Kirusi katika miundombinu ya kidijitali, setilaiti na mawasiliano unaweza kusaidia Tanzania kuharakisha...
Ni kawaida raia wa marekani na hata wageni kutembelea ikulu ya marekani aidha pale nje kwenye fensi au ndani kabisa Kwa kibali maalumu unachoomba mapema ili maombi yachakatwe.
Binafsi kibali...
Swali nililouliza;
"Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo...
Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
Kuna Muda unaweza kujilaumu Sana Kwa Nini?umepoteza Muda mwingi kusoma hii elimu tuliyoachiwa na mkoloni...
Kama MTU ana master's degree na Ni winga kariakooo Au afisa ubashiri Yani mkamalia,au...
Habari za Jioni Mabro
Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake
Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu...
Kichwa cha Habari
Hivi Polisi wa Ngazi za Chini Mna nini LAKINI? Maisha ya Kusua-sua, Unafiki wa Ofisini na Laana Inayowafukuza Hadi kwa Ndugu Zenu.
Wakuu salamu.
Leo nataka niongee ukweli...
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJβs maarufu, vinywaji kwa bei nafuu, na watengeneza maudhui wa mitandoni...