Hisia zangu za moyoni

Hisia zangu za moyoni

steve_MOMO

Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
44
Reaction score
11
Kiukweli humshale nimeamua kuachia tu umpate yoyote maybe utapungua ugonjwa huu kwawadada

Ivi huwa tunaonekanaje ss wanaume kwawadada hasa pale anapo kugundua kua unampenda
Now days wadada wamekuwa wanapenda pesa sana kuliko kumpenda mwenye pesa yani namanisha hakuna tena mapenz yakweli nainatupa shida sana ss wanaume kumjuwa yup anafaa kuweka ndani mana niugonjwa wa taifa zima
People ninacho kisema namanisha wanao taka kuolewa niweng waowaji hawapo active najambo hili mana hata hao waoewaji hawapo active na maisha yani hawajuw nini wana taka maishani nisemetu kwamba wadada munajiuza paspo nyie wenyewe kutambua kwamba muna jiuza


Mfano now days wadada bila kutoa chako humpat mala sina vocha mala sim mbovu hapo mzee bado hujaingia miguu yuto bado umesimana kama lonaldo huweleweki faulo una ipgia upandeani mana tanguapo wanaume asha sema kmoyo moyo hapa hakuna MPE kuna mwana mke


Nayeye anandoto zakuolewa ila haish kuomba omba maybe mahusiano hayana hata wiki ushatumia zaid ya laki 5! Nikukumbushe tu mdada mwenzangu iv unazani SKU tukikutana ukanipa mbiginya yako sintapotea njia kabisa ningie huku ntokee kule mana ulikuwa unajiuza paspo ww kufahamu ukweli nikwamba fikili kabra ya kutenda naujuwe una Fanya nn nann unataka maishani upo nyonyo!

Achakumsumbua sumbua mungu kwenye maombi kisa kupata mume bola et vyenye yupo active na love nakat ww mwenyewe hujuw nini unataka maishani usimsumbue mungu Dada angu anameng yakufanya wapo wagonjwa mahosptar wamelazwa wanaita mungu mungu nisaidie then na ww una kaa foren et kupga got nakat haupo bado active na ndoa


Kaa kwanza kikike kama mwanamke anaye taka ndoa kwel jiheshmu achakupenda penda vitu visnyo na msing vinakutoa utu wako alafu usimpangie mungu chaku post Dada et mwanaume yule hana hata elimu pesa hana analala chini kula shida hapo ss unampangia mungu chakukupa Dada ww ungendelea tu kufanya mishe zako achana namaisha upo titi!



Alafu wadada weng munapenda kula matunda yamiti ya wenzenu anza wako upande umwagilizie then uwone uchungu nalaha yake sio kila mwanaume unaye muona anapesa una mtamani kisa ana pesa hujaskia wakisema watu vyenye mwanaume amefanikiwa ujuwe yupo mwanamke nyuma au mwanamke amefanikiwa ujuwe yupo mwanaume bega kwabega


So ifahamike sikwamba waowaji hakuna nop wapo ila waolewaji hamupo active kwenye lengo ndomana asaiv kuna mtndo wakuowa njee ya [emoji574][emoji574]mana tz libwata kulogana unapenda usikilizwe ww tu mwanaume asitume mahitaji kwao kwamama ake nakati kuna familia umemkuta nayo inamtegemea ila ww unataka umuweke hapa[emoji117][emoji112] mungu anakuona alafu una sema mungu hakujbu maomb yako

Wadada fikilin kabra yakutenda na mungu atawatembelea sio kukaa uchi huku unataka kuolewa tena wadada sjuw munalingia nn mana kuzeeka kwenyu nimala moja alafu unakikuta kidada kina linga majibu kunya atakuowa mjombaako vutu ww kisa umevaa wig na kitait nahako katako ndounichukuloe poa mwanaume kwanza hujuw mm ndo nimekufanya uje mjin hapa wadada acheni kujskia sana to much mivimbo akat ubavu tume wachia mmoja tungegoma wanaumeje kutoa mbavu zetu munge kuja nyie et leo hi tunauzia love da mungu vichukue vidada vyote mwache mama angutu alafu tupe mwengne au zidi kuwa Fanya waweweng mpaka wakose pkulala kwao tumechoka na matatzo yao )!!!!!WANAUME WOTE TUSEME (AMEN)


Matusi stak tunaelimishanatu humu[emoji36][emoji36]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom