Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
9 Reactions
125 Replies
968 Views
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo Amelalamika kuwa fedha za Halmashauri ya miji hazitolewi kwa wakati na kiasi kinachotolewa ni kidogo sana kulinganisha na maombi: "unaomba pesa...
1 Reactions
5 Replies
249 Views
Kuanzisha ghetto si tu suala la kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya kwa heshima na mpangilio. Ili kuepuka kuishi hovyo na kukosa misingi ya starehe na usafi, zingatia...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Wacha tuendelee kufuturisha :BBRUHH: ------- Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo...
2 Reactions
24 Replies
596 Views
Hakuna kisichowezekana chini ya jua, nilijaribu kuacha nikashindwa nikaacha nikashindwa nikaacha nikashindwa x7 sabini ikafika muda nikakiri kuwa hakuna awezae kuacha uraibu huu, Lakini sikupenda...
15 Reactions
70 Replies
891 Views
Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu...
50 Reactions
240 Replies
16K Views
  • Redirect
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui...
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari Nina maswali kwa tume ambayo ningependa kuyafahamu vizuri ili niweze kuelewa. 1.Tume imesema kulikua na mafunzo je nani alikua akiendesha mafunzo hayo ? Je mafunzo yalikua na silaha na ni...
2 Reactions
3 Replies
135 Views
Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana. Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa...
3 Reactions
3 Replies
148 Views
Ni moja ya kitu pekee nakidatiliaga kwa kweli kimejaa elimu Mungu amwangazie huyu mzee anae sikika naielewa sanaa Sauti yake pamoja na matumizi ya lugha yaliyo sheheni tafsida
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinatarajia kuadhimisha Maadhimisho ya 11 ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu kuanzia Juni 9 hadi 11, 2026, katika Kampasi ya...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii. Kuna...
2 Reactions
5 Replies
308 Views
Jambo lolote analokwambia mlevi ni ukweli mtupu, #tujifunze utamaduni wa kunywa kwa afya.
8 Reactions
30 Replies
441 Views
Wakuu nina swali la kisaikolojia. Rafiki yangu alipata taarifa asubuhi kuwa baba yake amefariki na kwa sababu yuko nje ya nchi hakuweza kuhudhuria mazishi yaliyofanyika siku hiyo hiyo si unajua...
10 Reactions
70 Replies
1K Views
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya...
4 Reactions
4 Replies
148 Views
Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku...
4 Reactions
179 Replies
30K Views
DAWA Ni aibu sana kuona watu wana simu za kisasa, ila uwezo wao wa akili unaishi kwenye mapango ya kale. Wiki tatu zilizopita nilitenga masaa 140 nikakaa hapa kusoma, kuchambua na kutathimini Kwa...
20 Reactions
84 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…