Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
Hivi hapa Tanzania kuna Shamba la wafu la kueleweka?????
Hizi nchi zinazoendelea zina shida sana. Sio elimu, Nishati, Huduma za afya, Chakula Hata Ustaarabu tu ni Changamoto.
Sidhani hapa Tanzania Kwenye Halmashauri za Majiji, Mikoa, Wilaya Miji, Miji midogo na hata Vijiji kama kuna Maeneo Mahsusi ya Kuzikia watu yenye Management na Ustaarabu
Ukienda kwa Ndugu zangu wa Kilimanjaro, Mbeya, Kagera Unakuta Makaburi kwenye Migomba yao, Yani kila sehemu na utaratibu wao
Watu wa Real estate and Land managament naona hawajaiona hii Fursa. Ni vyema wakatenga maeneo ya kuzikia wafu yakawekwa Facilities zote muhimu kama Uzio kwa ajili ya ulinzi na mambo mengine na kisha wakatoza Pesa Eg. 500,000/= kwa kila kaburi na kukawa na Ramani na michoro ya makaburi ya sehemu husika ili kuyaweka maeneo hayo katika mtazamo mzuri.
Hivi ulishawahi jiuliza Siku ukifa utazikwa Kichaka gani??

unaweza pata Stress ukafa kabisa.