Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na...
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.
Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya...
Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali.
Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa...
Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa.
Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike...
Watu wengi wamejaa uchungu kwa sababu ya mambo yanayotokea huku na kule duniani. Kuna mtu ana uchungu kwa sababu ya madeni, kukosa kazi, biashara kufilisika au maisha kuwa magumu. Mwingine ana...
According to Civilian-Coin: "Art is something make Living thing to enjoy, hence Artist is a person who give others enjoyment"
ANALYSIS OF THIS PHILOSOPHY.
What make people feel free in mind by...
Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki...
Wakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji.
Aliniongeza Kwa makubaliano...
Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani,
Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama,
Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela...
Fedha zako,mali zako,DHAHABU,utajiri wako HAUTAKUSAIDIA siku ya GHADHABU Hasira ya Mungu.
Kumbuka wakati wa UGONJWA WA KORONA ulipoingia hakukuwa na tofauti kati ya TAJIRI NA MASIKINI kati ya...
Mwili wa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, unatarajiwa kuzikwa leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar.
Hafidh Ameir amefariki dunia...
Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu.
Leo...
Je ni mapema sana kupost hizi mambo ama tusubiri usiku?
Nadhani muda huu ndio sahihi kwakuwa shughuli nyingi hufanyika nuruni.. Kuna watu muda huu wako mochwari na majonzi tele.. Tuwaombee sana...
Kuna wakati mwanadamu hufikiri kuwa nguvu ni kuwa na jibu kwa kila swali, kushinda kila mjadala, na kuonyesha kwamba yeye ndiye anayejua zaidi.
Lakini kadiri unavyokomaa ndani, ndivyo unavyogundua...
Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni...
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...
Wazawa ni mazombie..
Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..
Hakuna jamii nzembe kama...
Kwenye imani za kijadi, unajimu, na tiba mbadala za kiasili, starfish (kiti cha pweza) hutumiwa kama kiungo cha kiroho cha kusafisha nyota, kuondoa nuksi, na kuvuta bahati kutokana na umbo na...
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga
Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia...
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga
Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia...