Watu wengi huamini katika uchawi, yawezekana upo Kweli, ila mimi sijawahi kuuona.
Je, wajua kwanini hauendelei?
Haujarogwa! Haujaibiwa nyota,
Hauishi jinsi Mungu alivyo kuumba.
Unaishi dhumuni...
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar amesema Serikali inapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye thamani ya dau la kamari (gaming) linalochezwa kupitia michezo ya...
Nimejaribu kupitia mtaala huu mpya wa elimu ya msingi Hadi kidato Cha nne sijaona suluhisho la mtaala huu kuwaandaa watoto wetu kushindana na nchi zingine au watoto kujitegemea.
Mfano historia ya...
Kwema wakuu?
Ninahitaji kupata passport ya kusafiria ila jina lililoko kwenye nida limekosewa herufi moja tu (badala ya kuishia na herufi “ni” jina la mwisho limeishia na “n”).
Siko na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza ujenzi wa tanki la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Msumi, Wilaya ya Ubungo, kwa lengo...
Kuna pepo na kuna moto
Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah)
Sifa Kuu za Peponi:
Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15).
Makazi bora...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi...
Ugonile,
Ni muda kidogo (kwa zaidi ya miaka miwili) sikuwa Tanzania, ila nilirudi mwaka huu mwezi wa pili nikakaa Dar kidogo maisha yakanishinda, nikaamua kutimkia mkoani. Kabla ya kutimkia nchi...
Inasemekana anaitwa Mohammad Hassan Noor, alienda kutafuta maisha Canada Toronto lakini Kwa bahati mbaya amefariki, muda sana ndugu wanatafutwa ila kimya.
Nimeshindwa kuelewa inasemekana mwili...
https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha watumishi kuzingatia kanuni na miongozo ya afya na usalama mahala pa kazi ili kupunguza ajali na madhara yanayoweza...
Habari , ukiangalia kwa umakini unaona kwamba kwa sasa tunataka note mpya na sarafu nyingine ambazo zitaendana na matakwa na mkulu kwenye ishu yake hasa ya kuwazuia wale wanaoficha hela Nyumbani...
kichwa cha habari chahusika, tukumbushane kuwa, hapa duniani bila Yesu Kristo na toba ya kweli hatutaweza kushinda, hapa tulipo na hapo ulipo na hapa tulipofika ni kwasababu tumeiacha kweli na...
Ni ujinga kujisifia kua katika circle ya watu wako wa karibu wewe ndo unajiona DON, hapo utaambulia mizinga na vimobu vya mara kwa mara.
Chakufanya Leo anza na amua kupunguza ukaribu na watu wa...
Wachumi nawauliza???
1.Hivi ikitokea leo miujizi BEI YA UMEME IKAWA UNIT 100 tunauziwa 10K kuna shido???Sababu ni ili kuvutia matumizi ya umeme kwa wingi na kupunguza uharibifu wa mazingira...
Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi...
Wakuu,
Kuna msemo unasema kinga ni bora kuliko tiba. Lakini kwa hali ya barabara ya Arusha–Simanjiro–Kiteto kupitia Oljoro No. 5, Komolo, Terrat na maeneo mengine, wakati mwingine mtu anabaki...
Leo ndio ile siku! Kipenga cha ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 kinapulizwa, lakini huku mitandaoni mambo yamegeuka. Badala ya bara la Afrika kusimama nyuma ya Afrika Kusini (Bafana Bafana)...