Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya.
Wasomi wamekuwa washenzi...
Moja ya kosa kubwa liliopo Tanzania kwa WATUMISHI WA UMMA ni kuwaita majina ambayo hawaifai na hawana sifa za kielimu watu wa OVYO KABISA.
Utasikia Afisa usalama, afisa ushirika,afisa kadeti...
Kama kuna mtu au watu waliopo karibu na Diva The Boss, ningeshauri wawe karibu naye zaidi katika kipindi hiki na wampatie usikivu, ushauri na msaada wa kihisia.
Kutokana na baadhi ya viashiria...
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana)
Muuliza Swali Mzungu: "Amid sanctions, you are wanting to do and increase business with Russia. How are you going to circumvent or bypass the...
Hivi aliyetuloga ni nani????!!!!
Mtu anaakili kweli, mtu mzima kabisa anajua kabisa life limetyt mithili ya skin tyt na bado anapitisha michango ya kipuuzi.
Nani aliyetuloga waTz kuwa fantacies...
Kila ukikutana na Watanzania wasioelewa mambo wakiona kichaa muokota makopo unasikia kwamba ni afisa usalama!
Ifike hatua mbadili mtazamo, Dunia ya sasa na teknolojia tuliyonayo si mnadhani...
_
Mwenyekiti wa MECIRA asema matunda ya safari ya Moscow na St. Petersburg yataonekana kupitia biashara, teknolojia, elimu, uwekezaji, ajira na masoko mapya ya bidhaa za Tanzania
MWENYEKITI wa...
Ukiweka ndio ni ule upande wake yaani yeye.
Ukiweka hapana ni upande wa kivuli na automatically unakuwa umechagua ndiyo 😂
michezo imeanza kitambo na hichoo.
Kwahiyo wapinzani hawakuepo kabisa...
Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) pamoja na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) vimeeleza kuwa wanachama wake wanaingia hasara ya mabilioni ya kutokana na ucheleweshwaji...
Wakuu,
Kama unahangaika kupost video/picha katika mtandao wa Instagram na ndugu yake Facebook usije ukatupa simu yako ukadhani imekuwa kimeo.
Watumiaji wa mitandao hiyo katika maeneo mbalimbali...
Ukijaribu kuangalia miaka 25 iliyopita kulikuwa na msukumo mkubwa kuhusu globalization, wenzetu walijipanga kufanya dunia kuwa kijiji!
Kipindi hicho pengine ungeweza kufikiri labda ni utani dunia...
Mzuka wana jamvi .
Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .
Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa...
Wanafunzi 17 na mhitimu mmoja kutoka vyuo mbalimbali Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kughushi nyaraka, kutoa taarifa za uongo na kujipatia mikopo...
Mfanyabiashara maarufu mkoani Pwani, Yusufu Mfinanga, amesema alianza maisha yake ya ujasiriamali baada ya kuacha kazi ya kuajiriwa katika kiwanda cha TPC kilichopo mkoani Kilimanjaro na kuanza...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza zoezi la ufungaji wa pampu mpya za kuzalisha maji katika Mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu kwa lengo la kuongeza kiwango...
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya...
Kama ni tetesi au kweli yote sawa.
Ila tunazungumza kwa wote.
Dini zipo kwa ajili ya maskini sio kwa matajiri ndiyo maana unaona tajiri hata akiwa na dhambi huwezi kusikia kakemewa zaidi ya...