Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://youtu.be/nv5ueMJ8N2Y?si=fXkr_OmlEpfJ-Sah
1 Reactions
2 Replies
90 Views
Kuna kelele za maji na Umeme kila kona tatizo ni nini?
1 Reactions
0 Replies
71 Views
Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi...
4 Reactions
19 Replies
326 Views
Hapo vip! Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa. Mimi...
14 Reactions
74 Replies
990 Views
Wachina tuwapongeze kwenye angle tofauti bila kusahau simu zao ingelikua tunawategemea wazungu tu adi sasa nokia za viswaswadu tungenunua 200k (bado nokia wana viswaswadu vya 120k leo 2026 nadhani...
4 Reactions
11 Replies
215 Views
Tulikotoka ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kununua iphone latest matoleo mapya ya milioni 3 hadi 6 Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko la uhakika...
12 Reactions
80 Replies
3K Views
Wakuu, Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Ili swali nimeweka hapa naona wale wana ccm wanakwepa sana kujibu. Wanajua Afghanistan ilikuwa maskini sababu ya urusi. wanajua kwa kiduku ni sababu ya urusi. Yugoslavia mpaka kuvunjika ni...
5 Reactions
15 Replies
205 Views
Yaani mnapenda kujipa umuhimu wa bure tu. Weekend mmekaa hamna kazi, jumatatu mnaamka mnajifanya mpo serious. Mnafunga barabara upande mmoja zaidi ya masaa 24. Serious Morogoro Road mnaifanyia ivo?
11 Reactions
18 Replies
241 Views
Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi ! Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
2 Reactions
5 Replies
126 Views
Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani. Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu...
2 Reactions
2 Replies
188 Views
Mitandaoni ikiwemo majukwaa makini ya majadiliano kama humu JF utagundua kuna kampeni za wazi, kubwa na zilizoratibiwa vizuri kuchochea chuki za kidini hasa baina ya waumini na waamini wa dini...
2 Reactions
11 Replies
141 Views
Kila binadamu dunia kuna kitu ambacho anapendelea kukifanya bila kujali icho kitu kina madhara katika nyanja tofauti tofauti kijamii,kiuchumi na kifamilia mathalani akifanya icho kitu anapata...
2 Reactions
16 Replies
223 Views
CCM kwa sasa uwelekeo wenu baada kukipa chama jeshi la polisi na jeshi la nchi. Ila na wakumbusha rwanda mpaka ilipofikia 94 ndio ikatazamwa dunia nzima. Sio hapo ila CCM bado mjajifunza...
2 Reactions
7 Replies
177 Views
IGP Mstaafu Omar Mahita "mshtakiwa yeyote kaingia katika jeshi la kaingia polisi kwenye lockup kapoteza maisha tunafungua inquest". Anasisitiza kuwa: "kifo chochote cha mashaka unafungua request...
1 Reactions
4 Replies
201 Views
FOR SALE Price Tsh 570m Sqmt 900 full title deed GOBA MAGHOROFANI 4bedrooms Karibu na lami Mtaa Mzuri Sanaa 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #realestate #goba #daressalaam...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Ni kituko gani binti wa kazi wako au wenu aliwahi kufanya mkabaki mdomo wazi?
5 Reactions
43 Replies
628 Views
Visa vya nchi za Ulaya ngumu kupata Wawekezaji ndio wale wakoloni Wamisionari ndio hawa wanasema tujifunze lugha zao kama kiarabu, kichina na kirusi Manamba ndio sisi tunafanya kazi viwanda...
2 Reactions
2 Replies
86 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…