Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni...
BWANA YESU ASIFIWE...Haleluya... Shalom..,
Naomba kwanza nitambulike kuwa sipingi fungu la KUMI ila naweka wazi kitu MHIMU Ili tusiebdelee jinsi ilivyo kwa wengi wetu.
Fungu la kumi limeonekana...
Kufuatia changamoto ya upatikanaji wa maji kwenye maeneo Mbalimbali ya Wilaya ya Ubungo, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameeleza kwamba shida ya maji ilikuwa inasababishwa na changamoto ya pampu...
Watu mnaosahau maumivu alituachia Magu na Polepole wake
1. Hakupandisha mshahara ya watumishi Kwa kipindi chake chote, kuwaondoa wafanyajazi wenye vyeti feki LAKINI kushundwa kureplace wengine...
If they ghost you:
Don't text again
Don't watch their stories
Don't post to get noticed
Don't talk about them
Don't stalk their page
Don't chase what left silently.
Walk away like never...
TBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup.
Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street.
Cha ajabu, watu...
Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi...
Habari.
Serikali ya Tanzania iache kabisa uhuni hasa kwa sisi vijana tunaobeti.
Jana kuna mkeka nimeshinda wakati wa kuwithdraw hela nimeona wanakata asilimia 5 ya hela niliyoshinda.
Hawa ni...
Kisayansi, “faida za kuwa Muislamu” zinazotokana na mafunzo ya Qur’an zinaweza kuelezwa zaidi kama matokeo ya tabia na mifumo ya maisha (lifestyle) inayopendekezwa na Uislamu, ambayo imechunguzwa...
PRESHA
WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA.
Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni.
Tofauti ni...
Tajiri mdogo mwenye pesa nyingi Chief godlove kapata mpinzani.
Mpinzani huyo moonster Billionare anakuja kasi sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kuanika na kuweka hadharani pesa na utajiri wake...
Habari za muda wana jf
Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe.
Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa...
Dawa anatumia za presha alizopewa hospital, za kumeza kila siku. Akapewa na hemavit kwa ajiri ya kuongeza damu,lakini naona hali iko palepale, kichwa kinamuuma,mapaja yanauma,na nguvu hana,na...
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.
Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.
Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Mussa Nsekela, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), hatua inayotafsiriwa kama ushahidi wa namna...
Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao.
Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni...
Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya...