Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi. Lakini quraan inasema uislam ndio dini ya haki. Je uislam unaongozwa na matakwa binafsi ya mtu au quraan?
6 Reactions
8 Replies
104 Views
USICHOKE KUOMBA Maombi 🙏ni pumzi ya uhai bila maombi 🙏🏿 hakuna uhai. wakati wote ni wa maombi 1)Kati kati ya majonzi ,shida,majaribu,misukosuko na matatizo,wakati wa kukosa,hata kama bado...
8 Reactions
13 Replies
630 Views
Miaka 7 iliyopita nipitia katika changamoto kubwa ya mahusiano yangu na Mungu. Katika kipindi hicho chote Mungu alikuwa mwaminifu katika maisha yangu , mambo mengi ambayo hata sikuyaomba Mungu...
7 Reactions
12 Replies
140 Views
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi...
18 Reactions
643 Replies
80K Views
Inasikitisha sana. Je, watu huzaliwa na chapa ya laana ya kuteseka, yani ndio inakuwa njia yake na kizazi chake haijalishi atasali AU kufanya mema kiasi gani?
3 Reactions
8 Replies
162 Views
Wakati tukiendelea kujipa moyo kua mbuzi katung'ata kwa bahati mbaya, mbuzi yeye anazidi kutuona sisi ni vibonde wake, sikuhizi anatung'ata halafu anacheka. Walinzi wa zizi la mbuzi nao badala...
5 Reactions
12 Replies
201 Views
Sala na maombi ya msingi kwa Mungu, ili kupewa huduma ya fadhili ya Malaika Wema Ee IEOVA ZEBAOTH, naita na kusihi kwa bidii kuu Uwezo wako wa Kimungu, Hekima, na Wema wako—mimi, Ioannes Dee...
1 Reactions
4 Replies
36 Views
HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI, KAMA YATAKUFAA BASI KARIBU, KAMA UTAONA BATILI, THEN LIVE YOUR LIFE 1: Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. Maombi na swalah ni njia za...
21 Reactions
38 Replies
476 Views
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni...
13 Reactions
74 Replies
643 Views
Real wala sina salamu CCM na watu wake ni wanaa kichizi Sijapata kuona wanafiki kama wanaccm. Wao wenyewe wametuleea Nchimbi Wakampamba weee oo ndio chaguo letu oo anakijua chama o sijui...
6 Reactions
20 Replies
255 Views
HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua...
2 Reactions
4 Replies
44 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Major Generals wote hawawezi kuwa CDF au CoS. Graduates wote hawawezi kuwa wafanyakazi wa serikali. Commissioners wote wa Polisi hawawezi kuwa IGP. Wanasiasa wote...
1 Reactions
9 Replies
53 Views
Zaidi ya wateja 10,000 wa bidhaa za Darling Hair wanatarajia kunufaika na awamu ya pili ya programu maalumu ya kampuni hiyo maarufu kama Loyalty Program inayolenga kurudisha kwa jamii kwa njia ya...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
  • Redirect
Nimekuwa nikimwona kama shetani kabisa. Hata wanawake japo huwa wanaroho mbaya ila linapo kuja swala la kuuwa watu, aisee huwa ni viumbe udhaifu sana. Lazima atachukuliwa na emotions tu. Ila Huyu...
8 Reactions
Replies
Views
Mwanamke huwezi pata mwanaume mwenye hizi sifa zote kwa pamoja yani mwanaume mwenye pesa,mwenye upendo,msikilivu,mwenye muda na ulomantic kwapamoja. Pia wawanaume wenzangu hatuwezi...
3 Reactions
16 Replies
144 Views
TUMIA 👇 Kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Kwa jina la Gabrieli, Mikaeli, Arieli; kwa jina la Mikaeli, Azrieli, Shamshieli, Harshieli, Sarphieli, Nurieli; kwa jina, Mimi ni yule niliye...
1 Reactions
2 Replies
42 Views
Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Kwa jina Gabriel, Michael, Ariel; kwa jina Michael, Azriel, Shamshiel, Harshiel, Sarphiel, Nuriel; kwa jina Mimi Nipo Yule Niliye, Mungu...
5 Reactions
12 Replies
264 Views
Maulid Mubaraq good people. Naandika uzi huu tucheke kidogo tupoze machungu ya Ima. Ni hivi,miezi kadhaa nyuma tuli update kiji mansion chetu interior na exterior.Tuliweka vi udambwi udambwi...
10 Reactions
93 Replies
1K Views
  • Redirect
You deserve better fruits. Nguvu na jitihada zako ulizowekeza kutafuta pesa na Mali unatakiwa sasa uzifaidi. Achana na wanawake waliotumika, used and second hand women. Mara nyingi Sisi vijana...
4 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…