Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

I
2 Reactions
1 Replies
149 Views
Anonymous
Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri. Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum. Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote...
8 Reactions
20 Replies
346 Views
Tunafahamu kuwa utumishi wa umma unahusisha kufanya kazi popote pale kulingana na mahitaji ya Serikali. Hata hivyo, ni muhimu pia kutambua kwamba familia ndiyo msingi wa jamii imara. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakuujia .?? Nimekosa nguvu kila saa matatizo. Hayaishii huwezi ukasema nipo sawz sasa ukafurahi unaletewa jingine hadi mtu anachoka eti
16 Reactions
47 Replies
459 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa pensheni zao kuanzia mwaka wa fedha 2026/27, baada ya Serikali kukamilisha hatua zote za kisheria na...
1 Reactions
8 Replies
365 Views
Dakika kadhaa za Profesa Sospeter Muhongo akiwa Bungeni Dodoma juzi, darasa zito sana Profesa kalitoa. Unamkumbuka kwa lipi mzee wetu. Alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo ...
1 Reactions
9 Replies
229 Views
Mwigulu, tafadhali sana usitaje jina 'Tanzania bara' na 'Zanzibar' unapozungumzia pande mbili za muungano unaounda Tanzania, badala yake tumia Tanganyika na Zanzibar. Ukishasema Zanzibar lazima...
20 Reactions
52 Replies
633 Views
Mijadala ya ambayo sisi watanganyika tukae watazamaji na hakimu ni ili la muungano. Kwenye huu muungano kutatokea vita mbili ya wenye mali na maisha tanganyika vs wenye mali znz.
2 Reactions
3 Replies
109 Views
Hellow people, Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya Vitu vya kuwa navyo Notebook (Daftari) Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako...
85 Reactions
548 Replies
18K Views
Bunge la chini la Zimbabwe limepitisha mswada unaolenga kuongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano hadi saba. Hatua hii inampa mwanya Rais Emmerson Mnangagwa kusalia madarakani...
0 Reactions
11 Replies
194 Views
Kumekua na nyuzi nyingi za kutupia picha za huzuni vichekesho picha za warembo n.k sasa huu uzi ni wa kutupia picha za kutisha Tupieni mi sjatupia ya kwangu cm inagoma NAWASILISHA
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Anonymous
Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Bassotu, Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari wa Polisi Kata ya Bassotu. Askari hao huenda kwenye vilabu...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Mahusiano ya kimataifa hujengwa kwa maslahi ya wananchi, si kwa kelele za mitandao. Tanzania na USA zimeendelea kuweka mbele biashara, uwekezaji na maendeleo.
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Tukio lilivyoanza. Julai 13, 2018 Marafiki watano walisafiri kwenda kijiji cha Handikera katika jimbo la Karnataka, India, kwa ajili ya matembezi ya mapumziko (picnic). Wanaume walifahamika kwa...
1 Reactions
16 Replies
339 Views
Wakati virusi vya Corona vinasambaa kwa kasi duniani kote, hakukuwa na chanjo wala dawa maalum ya kutibu ugonjwa huo. Hali hii ilisababisha hofu kubwa ya umma, na kuwafanya watu wajaribu njia...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Kumekua na nyuzi nyingi za kutupia picha za huzuni vichekesho picha za warembo n.k sasa huu uzi ni wa kutupia picha za kutisha Tupieni mi sjatupia ya kwangu cm inagoma NAWASILISHA
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Tusiime Holding Kampuni inayomiliki shule za Tusiime inaelekea kupigwa Mnada kutokana na madeni makubwa kutoka NSSF, Bodi ya mikopo, CRDB & NBC na malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ambapo...
15 Reactions
460 Replies
30K Views
Bunge la Seneti la Marekani limefanya mabadiliko katika Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya Marekani na Tanzania kwa kulegeza masharti kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
217 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…