Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana.
Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati.
Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa...
Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu)...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri na Mameya nchini kuhakikisha maeneo ya Serikali na taasisi...
Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha?
Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya...
SINGIDA
Wataalamu wa sekta ya ardhi Mkoa wa Singida wakiambatana na wale wa kutoka Makao makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wametoa elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa...
Kama kichwa cha maada hapo juu kisemavyo. Ni kwanini wanawake hawana vigugumizi kama wanaume na hata kama atakua nacho basi hakiwi kikubwa kama cha mwanaume lakini pia hata hao wenye nacho ni...
Nimekosa namna ya kuweka Heading vizuri. I'm sorry 😔.
Kwa uelewa wangu na uzoefu wangu Hadi nimefikia hapa nilikuta dhana kama hizi
Mwanamke akiwa hedhi akiingia kwenye shamba la nyanya ama...
Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi...
Waandaaji wa maudhui (content creators) nchini Tanzania tunaofanya kazi kupitia jukwaa la YouTube, tunakabiliwa na changamoto kubwa inayokwamisha ajira na fursa zetu za kiuchumi.
Baada ya...
Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela.
Kwa sasa, tunategemea daladala...
Wewe imagine anachopitia Sunderland kwa sasa? Mkataba kaingia na TFF wizara ikiwa anaongozwa na waziri aliyepita. Wamesign mkataba wa miaka 5 mbele ya makamera.
Mchakato wa kutengeneza jezi...
Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Kagera, Bi. Florida Busheni, akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, mapema leo tarehe 18 Septemba 2026 ametoa...
HUNA SABABU YA KUWA BABA YA KAMBO HASA UKIWA CHINI YA MIAKA 45.
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli.
Naongea na vijana wa Tibeli, naongea na binti za Tibeli. Nazungumza na wanaume wa Tibeli...
TUNDURU
Wajumbe wanne wameapishwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kuwa Wajumbe wapya wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Tunduru, ikiwa ni hatua ya kuimarisha upatikanaji wa haki na...
Habari ya leo Wana jf!
Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom anielimishe kuihusu! Nimejaribu kuwapigia vodacom kwenye namba 100 naona ni maelezo mengine yanayotolewa na hata hakuna...