HII::Imekaaje?

HII::Imekaaje?

Ila kiustaarabu sio vizuri kukataa chakula ukikaribishwa
 
Hii ni mara ya mwisho nilipoenda kwa dadaʼake mke wa kaka na kuniuliza kama nimeshiba au sijashiba niliposema sijashiba...
FB_IMG_1736456600062.jpg

Akaamua kunipeleka jikoni nikachukue cha kushiba hapa ni mimi nikijifanya kushangaa.
 
Ni mfumo ambao jamii imejiwekea. Alaf unajua na mtu mwenyewe anaye kukaribisha mna mazoea gani?
 
Hapo ni Ryan Conner yupo na mama wa rafiki yake sasa utajua mwenyewe walichokuwa wanataka kukifanya.
Ni Ryan Conner yupo na RAFIKI wa mwanae na hapo marafiki wengine wawili wataongezeka waje kula Chakula

Ila tutafika mbinguni tumechoka sana 😂😂😂
 
Hii ina maana gani? mtu""kukaribishwa,,,chakula hujashiba lakini unasema nimeshiba
tabia hii naiona mtu ana njaa akikaribishwa chakula anasema kashiba!!!

NAWAKARIBISHA WOTE KWA MCHANGO
Ukiona hivyo jua hicho chakula ni haram au cha misukule
 
Napima kwanza mazingira, aina ya mtu anayenikaribisha na muitikio wa nafsi yangu
 
Hii ina maana gani? mtu""kukaribishwa,,,chakula hujashiba lakini unasema nimeshiba
tabia hii naiona mtu ana njaa akikaribishwa chakula anasema kashiba!!!

NAWAKARIBISHA WOTE KWA MCHANGO
Wewe ulimkaribisha chakula gani ndipo akasema kashiba?
1. Wewe ukimkaribisha Rashidi ugali kwa mboga ya kitimoto ni lazima(Kwa ustaarabu) atasema kashiba.
2. Ukimkaribisha muathirika wa kisukari(Diabetes) chai na keki atasema kashiba.
Kwa hiyo mkuu; mtu kusema kashiba ni jibu la kiustaarabu tu - huwa analengo la kuilinda afya yake au imani yake.
Kwa mfano huku umasaini wakija wageni halafu ukawakaribisha maziwa ya mgondo mara nyingi wanasema tuko kwenye dozi na haturuhusiwi kutumia maziwa kwani dawa haitafanya kazi. Lakini kiukweli wanaona kinyaa kwa mazingira maziwa hayo yalivyoandaliwa.
3. Mtu aliyeshiba kiukweli na kwa ustaarabu wa Kiafrika esp. Kibantu i.e. hana kikwazo chochote; huchota kidogo au kuonja kidogo ndipo anatoa jibu la nimeshiba.
 
Back
Top Bottom