Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Samahani, tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Makuburi kuhusu Kanisa la T.A.G Getsemane Mabibo External. Kwa kweli limekuwa kero kubwa kwa jamii kutokana na matumizi ya sauti kubwa kupita...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Bob Marley alisema; Life is a lord with a lot of signs when you riding through the roots don't complicate your mind,free from hate mis-chief and jealous. Don't burry your thoughts put your vision...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
Mindset yangu ni, Kufocus na biashara, Nidhamu ya pesa, Kuwekeza, Kutunza pesa kabla ya matumizi, Kutokata tamaa, Malengo ya muda mrefu, Kuzingatia bajeti, Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya...
0 Reactions
12 Replies
159 Views
Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
0 Reactions
4 Replies
123 Views
Anonymous
Wananchi wa Morogoro katika Halmashauri ya Mlimba, kero yetu kubwa ni Barabara ya Ifakara Mliba imekuwa kero sana Barabara ni mbovu kupita kiasi, hapo ni Chita hali ni kama mnavyoona.
3 Reactions
18 Replies
366 Views
Anonymous
Wananchi wa Mtaa wa Nyabisare, Kata ya Bweri, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, wameendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama, hali inayowaathiri kwa kiasi kikubwa...
1 Reactions
2 Replies
98 Views
Hakika nimehudhuria ndoa nyingi ila hii ndoa ya jana ilikuwa ni kiboko sana, baada ya rafiki yetu kuwa mgumu sana kwenye kuoa, hatimaye tulifanikiwa kumshawishi aoe, maana ilikuwa kila siku...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Hawamu niliyoshika kijiti, Sikukua na imani na yeyote niliishi kwa mashaka mno, nilijaribu kubadili chaguzi mbali mbali lakini bado nilihisi nina opponent ndani ya ongozi zangu Ilinichukua mda...
5 Reactions
8 Replies
132 Views
Kisa cha Siku ya Ashura 🤍 Siku ya Ashura ni siku ambayo Allah alimwokoa Mtume Musa na wana wa Israil kutoka kwa Firauni na jeshi lake. Bahari ilipasuka kwa amri ya Allah, Musa na watu wake...
7 Reactions
18 Replies
303 Views
Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mtu aliniuliza, “Unawezaje kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja?” Kwa wakati mmoja naweza kuandika mkono wa kulia unaandika story ya kusikitisha, na mkono wa kulia mwingine unaandika...
1 Reactions
25 Replies
272 Views
Msimu huu ambao abiria ni wachache, ukifika Msamvu ukakuta basi la Ifakara wanakudaka chap wanakukatia tiketi. Baada ya hapo, utasubiri saa nyingi hadi basi lijae halafu mnapelekwa Mafiga...
3 Reactions
18 Replies
247 Views
Ni mwanaume aitwae Omary Issa (32) mkazi wa kata ya Twangoma wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam, akiwa anamfunga nepi mtoto wake wakike mwenye umri wa miezi tisa (9), ikiwa ni baada ya mama wa...
3 Reactions
9 Replies
271 Views
Katika ukuaji wangu mimi na mama yangu hatujawahi kuwa na uhusiano mzuri. Mara kwa mara amekuwa akinitamkia maneno ya kejeli na yeye chuki hadi nikawa najiuliza huyu ni mama yangu kweli...
23 Reactions
58 Replies
1K Views
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kenya 🇰🇪 plans to link CCTV cameras with the national ID database, allowing police to identify crime suspects faster using facial recognition technology that matches public camera footage with...
3 Reactions
1 Replies
101 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…