Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. WAKO MAKINI NA MAMBO YAO. Hawataki mchezo kwenye harakati zao za uchawi wakiambiwa lazima upatikane unyayo wa paka basi atamtafuta paka siku nzima na kwa gharama yoyote paka ampate. Lakini...
1 Reactions
2 Replies
201 Views
Anonymous
Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi. Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Kadri umri unavyozidi kusogea, nimekuja kutambua ukweli mzito kuwa no one knows who you are. Unazaliwa, unapewa jina, unaanza kufunzwa emotionally, matukio yatokeayo na namna ya kurespond...
14 Reactions
78 Replies
1K Views
Jifunze kusema HAPANA. Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako. Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus...
2 Reactions
3 Replies
197 Views
Life is bitch everything came an Go.
8 Reactions
29 Replies
387 Views
Wenye uelewa na hili swala Nina mbuzi wangu 80
2 Reactions
36 Replies
2K Views
SHAPESHIFTER Hawa ni watu wenye nguvu kubwa za kichawi. Inaelezwa kuwa hawa ndio watu wenye kuongoza dunia hii. Mataifa makubwa yote yanamilikiwa na binadamu wa aina hii binadamu ambao kidunia...
1 Reactions
1 Replies
111 Views
Anonymous
Kuna kero moja sijajua wenzangu wanaichukuliaje, hizi speaker za wanaojiita WATUMISHI WA DINI hapa Mbezi Luis Stendi ya Daladala it's too much aisee maana huko foleni ya mwendo kasi lakini muda...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Habari wakuu hapa ni Pongwe- Tanga, nashukuru kwa kuripoti changamoto yangu siku kadhaa nyuma, tayari mkandarasi yupo kazini kama mnavyoona, Asanteni na msichoke kuripoti changamoto za wananchi na...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Viongozi wa Serikali katika Kata ya Saranga kwa kushirikiana na ‎Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imefanya ziara ya kimkakati ya kukagua hali ya huduma ya maji na...
2 Reactions
4 Replies
101 Views
Anonymous
Sisi vijana tunapenda kuwasilisha changamoto kubwa tunayokumbana nayo katika mchakato wa kubadili majina na kusajili nyaraka husika (Deed Poll/Affidavit) kupitia Wizara ya Ardhi. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Kufungwa kwa mfereji wa Hormuz kumeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Dunia jambo ambalo limepandisha bei ya Mafuta na gas karibuni ulimwengu kote hususani Tanzania. Kwa sasa mgogoro huu upo...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Anonymous
Samahani, tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Makuburi kuhusu Kanisa la T.A.G Getsemane Mabibo External. Kwa kweli limekuwa kero kubwa kwa jamii kutokana na matumizi ya sauti kubwa kupita...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Bob Marley alisema; Life is a lord with a lot of signs when you riding through the roots don't complicate your mind,free from hate mis-chief and jealous. Don't burry your thoughts put your vision...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
Mindset yangu ni, Kufocus na biashara, Nidhamu ya pesa, Kuwekeza, Kutunza pesa kabla ya matumizi, Kutokata tamaa, Malengo ya muda mrefu, Kuzingatia bajeti, Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya...
0 Reactions
12 Replies
159 Views
Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
0 Reactions
4 Replies
123 Views
Anonymous
Wananchi wa Morogoro katika Halmashauri ya Mlimba, kero yetu kubwa ni Barabara ya Ifakara Mliba imekuwa kero sana Barabara ni mbovu kupita kiasi, hapo ni Chita hali ni kama mnavyoona.
3 Reactions
18 Replies
366 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…