Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mumeona kuanzia jana mada za chawa wa CCM zikiambatana hapa JF. Hii nipesa imeshatolewa yani mpaka wema hatafanyiwa shereee ya mtoto. Kila aina ya rangi kwa pesa wanazotumbua mtaaacha kuona kila...
6 Reactions
4 Replies
102 Views
kuna upumbavu mkubwa sana katika mifuko jamii ,kama sio basi ni makusudi,inakuwaje watu walalamike kila siku hawapelekewi michango yao? yaani zama hizi za teknolojia muajiri anafuatiliwa...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi...
12 Reactions
75 Replies
1K Views
Habarini, Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga. Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms ...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Haiwezekani watu wanauawa, wanatekwa, yeye yupo tu. Kama kweli wanaofanya matukio haya ni wahalifu wasio julikana basi yeye ndiye chanzo. Huenda watu wanaotekeleza mauaji haya wanajua kuwa yeye...
27 Reactions
53 Replies
730 Views
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa? Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha...
14 Reactions
80 Replies
6K Views
Mungu amewaumba viumbe wake na kuwapa akili hekima na busara. Na anapenda umtumikie kwa vile ulivyo yaani usijikatae. Ukijikana umekanane yeye aliekuumba. Hebu tuone mambo yanoyo fanya...
4 Reactions
7 Replies
134 Views
KUNA MAHALI SHERIA ZETU ZINAKUACHA KINYWA WAZI Baada ya kusoma hukumu hii ambayo inatokana na kesi ambayo ushahidi wa videos zake nami niliona tena mara nyingi, nimebaki mdomo wazi. Nimeijiwa na...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Ni matumaini yangu huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu, wenye changamoto poleni (in pain is where we live, you have to accept and love pain) Moja kwa moja kwenye ushauri,, Hakikisha...
8 Reactions
16 Replies
243 Views
Nina taarifa kwamba stand ya Magufuli anapatiwa muwekezaji kwa shughuli tofauti na stand inahamia mawasiliano (Japo si rasmi), na waliokuwa wanatoa huduma maeneo yale upande wa nje wameshahamishwa...
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Kuitikia salam ni kitendo cha uungwana na kutoa salam kitendo cha uungwana Hapa tunazungumzia salama za aina zote Sasa inakuaje? mtu kumpa salaam akakaa kimya imekaaje hii umewahi kumpa mtu...
3 Reactions
6 Replies
111 Views
Kwa sasa wanajitahidi kukuteka maana mtindo wa kuwekeana sumu watu wameshtuka labda kama ni mgeni. Idara za serikali kila mtu anamuona mwenzake nyoka. Ukiwa mpole, Mkweli, mpenda haki subiri...
3 Reactions
4 Replies
114 Views
Anonymous (511c)
Kwa muda mrefu sasa benki ya NMB tawi la Chamwino dirisha linalotumika kutoa huduma ni moja tu wakati kuna madirisha mawili ila moja halina mhudumu kwa muda mrefu sasa. Hali hii inasababisha...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Mi kuna kitu naamini na bado na amini waislamu wengi elimu zao zina mapungufu. Kwanini mtaki kufahamu kuwa imani inaweza kugawanyika madhehebu na bado mkasema ni sio dhehebu. Iran ina pambana na...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Anonymous
Ndani ya Rock City Mall Mwanza kuna kero ya kupigiwa muziki mkubwa wakati wa usiku kucha, tunaoishia maeneo yanayoizunguka Mall hiyo, yaani kirumba, Kitangiri na Ghana kelele hizo zimekuwa kero...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo...
1 Reactions
3 Replies
112 Views
Nchi inapitia katika wakati mgumu sana badala ya kutafuta suruhisho kwa matatizo yaliyojitokeza sisi tunaanzisha mengine. Hivi nchi Haina wazee au washauri wazuri wa serikali. Kama wapo basi...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni...
8 Reactions
38 Replies
582 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…