Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza...
Kukumbuka kumbukumbu zako zote kwa ukamilifu si jambo linalowezekana kwa watu wengi. Ubongo wa binadamu hauhifadhi kila tukio kama video inayoweza kuchezwa tena; badala yake huhifadhi sehemu...
Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.
Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika...
Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na...
Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi...
Kwahiyo Mwamposa kajaza Matunguli Asali akidhani kila Tunguli linawekwa Asali hahaha😂
Halafu matunguli yote Mapya sijui kamuandaa mganga feki mpya🤣🤣
Naona kuna Pembe za Ng'ombe na Usinga...
Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani...
Kwanza kabisa niwakumbushe kuwa ELIMU haifananishwi na haina mbadala. Hata Fedha sio mbadala wa elimu. Unaweza cheza kamari ukapata hela ila hakuna kamari ya kupata elimu. Mtu hadi kuwa profesa wa...
Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi
Unaweza kuta mwanaume au...
Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye pointi.
Huyu kamanda wakuitwa John Heche anapaswa kulindwa kwa namna yoyote ile kwa wazalendo wote wa taifa hili. Huyu ikitokea tukashidwa kumlinda na...
Hebu acheni dharau kilamtu ana maisha yake iweje mtu anamiliki infinix wewe unamilik iphone au samsung unaanza kutukana na kuropoka ety infinix ni kifaa cha kuhifadh line unajua kipato chake? au...
Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia.
Ngoja niwape hii story.
Sehemu flani hapa Dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku halafu maeneo...
Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi.
1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa...
Jana kwenye harakati zangu nikawa nimepata viji laki kadhaa. sasa miaka ya nyuma kuna binti nilipata kuzaa nae (waislamu wanaita mtoto wa haramu) nimekuwa nikipambana sana kupata taarifa za yule...