What's is life?

What's is life?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,913
Reaction score
3,737
Nikijarib kutafakari maisha nakosa jibu.kila kitu kwa maisha kinachosha sio pesa,sio mademu hiv maisha yametokea wap na kwa nn mtu anazaliwa halafu anakufa.anapambana yote ila mwisho wa siku anakufa. kwel ukifikiria kila kitu useless kwa kwel maisha nin na nini lengo la mwanadamu kuish.
 
Mambo madogo hayo..
Life is Biology
Maana biology is the study of life
 
Mwanzo wa maisha ni big bang.
Baada ya hapo kukatokea mkandamizo wa hewa zilizopo angani.

Hapo kikazalishwa kitu kinaitwa DNA like structur. Huu ndo ukawa mwanzo wa maisha.

Kwanini unazaliwa.
Unazaliwa ili ufanye balance ofa nature ya wale waliokufa.

Kwanini unakufa
Unakifa. Ili ufanye balance ya wale watakaozaliwa.

Naomba uliza swali lolote nipo hapa takujibu kwa majibu mafupi yenye urahisi wa kuelewa kulingana na elimu yako
 
Em kula bia achana na mawazo ya kiwaki, nyie ndo mwisho wa siku mnajinyonga mnatuachia wake zenu na watoto.

Ila kama na wewe nature imekuchagua uwe muwaza hayo makitu we endelea ila end of the day huwa mnajiua nyie.
 
Miasha ni kwanza kuzaliwa, pili mapenzi, tatu kifo... mengine ni mbwembwe tu...


Cc: Mahondaw
 
Kudadeq leo kila mahali nakutana na what's Life hata hapa kijiweni story ni hizi hizi. kuna nini kwani?
 
Back
Top Bottom