Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke...
6 Reactions
26 Replies
357 Views
Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi) So basically ni kaamua kuwa...
20 Reactions
183 Replies
2K Views
Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni: Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama). Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku. Kupiga kambi au kutazama nyota...
3 Reactions
15 Replies
253 Views
Jamani nimepata msiba nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea Moshi naomba msaada tafdhari Namba yangu ni 0672901144
4 Reactions
50 Replies
749 Views
Watu washamegewa fungu wakamat vijana kwa wingi zaidi. Hawa wataenda kusafisha mapori yaliyonunuliwa na vibopa na kupiga Jembe kwa muda usiojulikana. Huku upand wa pili ageni nao wananunua...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Umeanzisha kampuni na unataka kumpa mwana JF nafasi katika uongozi wa kampuni yako, ungemchangua nani na ungemuweka nafasi ipi?
0 Reactions
0 Replies
52 Views
AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa...
6 Reactions
16 Replies
613 Views
Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua. Leo hii unaweza kupita barabarani ukakuta Kilimanjaro Company Ltd, Serengeti Traders, Simba Enterprises, Safari Logistics, Ngorongoro...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Hawa jamaa waliuwawa Kimkakati kabisa They had codes of the universe Sema ndo ivyo. Mmatumbi hata amini kuwa there's more than meets the eye.
1 Reactions
4 Replies
104 Views
Mteja? wacha nikwambie maana yake. Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu...
12 Reactions
61 Replies
7K Views
Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba. Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna...
0 Reactions
10 Replies
144 Views
Watanzania wanatabia ya kunyoosha kidole aka askari kidole ili wajitenge au kuonesha wewe ni mpinzani wa CCM. Haya sasa yanatokea kama watu kuvamiwa usiku wakijitambulisha polisi,wengine...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Kuna mwalimu mkuu wa shule x ya secondary kahama amekua na tabia za kuwatoza fedha ya dawati tsh themanini elfu 80000, kila mwanafunzi anayejiunga kidato Cha kwanza, mwalimu huyu hutumia vitisho...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na...
6 Reactions
26 Replies
713 Views
Mtu mmoja wa jinsia ya kiume amekutwa amefariki dunia katika eneo la Mto Kijenge, mtaa wa Block J, kata ya Ngutoto, jijini Arusha. Kwa mujibu wa mashuhuda, walipokuwa wakipita pembezoni mwa bonde...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Barua iliyosambazwa kuhusu kufungua Shule si sahihi ipuuzwe. Tunaomba Wadau wazingatie Kalenda ya Mihula ya Masomo kulingana na Waraka wa Elimu Namba 06 wa Mwaka 2025 ambao umeambatishwa.
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi: Ethiopia Thailand Timor-Leste Indonesia Myanmar Singapore Ufilipino Msumbiji Japan Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo...
3 Reactions
6 Replies
126 Views
Umoja wa Ulaya umetangaza kiasi cha Mil 34 ili mtu kupata hifadhi kwao naona vyuma vimebana sana Ulaya. Wale wazee wa kukusanya hela za donation (ToneTone) waendelee kukusanya maana sahz...
6 Reactions
18 Replies
248 Views
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa...
3 Reactions
9 Replies
342 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…