UTEKELEZAJI WA ADA YA UENDELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA BANDARI
Jumatano, 01 Julai 2026
DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inapenda kuujulisha Umma kuwa mnamo tarehe 1...
Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), akidai yamelenga...
Baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha Bajeti ya mwaka 2026/27, Serikali imeongeza kodi ya excise duty kwa magari kulingana na uchakavu wake, ambapo ongezeko ni kati ya asilimia 5 hadi 10 kulingana...
Vehicle officer Mwanza, ni usumbufu sana.
Ofisi hii imekuwa ni kero kwa jiji la mwanza,watu wengi wanasubiri huduma lakini yeye hayupo... na Cha kushangaza ofisi yote,yupo mmoja tu mkoa mzima...
Tumekua tukisikia msemo unasema kufilisika huja na roho ya madeni.
Tunaomba ushuhuda kwa wenye uzoefu kama umewahi kukopa au umewahi shuhudia mkopaji akifanikiwa baada ya kukopa.
"Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja...
Asubuhi ya Desemba 2022, Harold "Peanut" Allen, mwenye umri wa miaka 52 kutoka Freetown, Indiana, Marekani, alianza kuugua ghafla. Alikuwa akitapika, akilalamika maumivu makali ya tumbo na afya...
Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula...
Kiroho na kihesabu (Numerology), tarehe ya leo Juni 26, 2026 kubeba Nishati ya Namba 8, ambayo ni namba yenye nguvu kubwa ya mafanikio ya kifedha, mamlaka, na uwiano wa kimaisha (Karma).
Hii ina...
ushuhuda
Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli
Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika sekta ya nishati baada ya kutunukiwa Tuzo ya Rais ya Mlipa Kodi Bora katika kipengele...
Bwana Yesu apewe sifa. Nalisihi Kanisa la Mungu lililopo Tanzania limkumbuke Mch. Mbarikiwa Mwakipesile. Ninaposema Kanisa la Mungu la Tanzania simaanishi dhehebu! namaanisha ni watanzania...
Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi!
Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo...
Sheria za dunia na dini zipo kwa maskini tu.
Maskini unaweza kuwa na njaa ukaiba kuku hapo kuna mawili kuona 30 au kuona kifo.
Ila tajiri anaweza kuiba bilioni 30 tukaambiwa tumzomee.
Hivi...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini na kukamata makopo 122 ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vyenye kemikali ya THC, inayopatikana kwenye dawa za...
Sijajua kuna nini.
Hii huduma imeanzishwa juzi tu badala ya kutumia namba ya simu sasa unaweza kutumia username.
Kumbukeni India kuna wataalamu wengi swala la IT na scammer wengi wapo India.
Au...
Wakuu habari ya leo...!?
Naomba tushirikishane mada hii kidogo ili tupate uelewa wa pamoja na kuweza kusaidiana namna ya kwenda.
Kulingana na uzoefu wangu katika kazi ya uuzaji wa viwanja vya...
Leo Quran inachukuliwa kuwa ni nakala moja tu inayosomwa na Waislamu duniani.
Lakini kihistoria, hapo awali Qur’an zilikuwa na tofauti kubwa si tofauti kidogo tu ya alama za vokali, bali maneno...
Makamu Mwenyekitiwa CHADEMA upande wa Bara, Mheshimiwa John Heche, Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa na viongozi wengine wa chama wakiwasili mortuary ya hospitali ya mkoa wa Kigoma...
ZOEZI HILI LIMEFANYIKA
Kwa wafia dini mnaweza kusema kwamba tunaroga _ Ila hizi ni mira ambazo hata kama utaona zinaujinga na upuzi ndani yake nataka kuwaambia !
Huyu mzee kumtoa Shinyanga...