Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa...
1 Reactions
0 Replies
50 Views
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akiwa Bungeni leo Septemba 2, 2026 amehoji kuhusu ujenzi wa soko la kisasa na la kimkakati katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ambalo ameeleza kuwa Soko...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Askofu wa Kanisa la Evangeliki la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amewataka viongozi kuheshimu na kuwajali watu wanaowaongoza badala ya kulewa madaraka. Akizungumza...
2 Reactions
4 Replies
180 Views
A stolen sovereignty.. Hakuna marefu yasiyo na ncha Bei ya mafuta Zanzibar leo
18 Reactions
71 Replies
2K Views
Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi. Mtu huyo kimuonekano ni anaafya...
4 Reactions
31 Replies
591 Views
Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akizungumza na Viongozi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa ya Mbeya,Geita,Pwani,Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Shahidi MBABE kuliko WAKILI 🤣 Wakili: Una Akili timamu? Shahidi: Nina akili timamu kuliko wewe na bosi wako Wakili: Unajua asiye na akili anatabia ya kuijiona ana akili kuliko wenzie? Shahidi...
19 Reactions
17 Replies
370 Views
Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Nimekuwa mtumiaji wa mtandao wa Halotel kwa takribani miaka minane sasa, lakini kwa muda mrefu...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Mmbwa ni best nimemfuga sana kimara na kisasa dom tunawapenda na wanasaidia sana kwenye security na ni raha akikuzoea.Lakini ukweli mmbwa ni fucken sana ukiitwa mmbwa jua wewe addition yako bi...
1 Reactions
11 Replies
110 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza...
1 Reactions
1 Replies
84 Views
Hivi jamani, mzazi mzima mwenye akili zako timamu, unajua kabisa binti yako anatoka nyumbani saa nne ya usiku amepigilia pamba za kikahaba, amejifunga kanga yake juu kuzuia macho ya majirani na...
10 Reactions
61 Replies
841 Views
Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka...
2 Reactions
16 Replies
232 Views
Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha...
2 Reactions
0 Replies
73 Views
Mkuu wa Idara ya Chapa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma akizungumza katika Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 ambapo alizungumzia namna ya Vodacom inavyounganisha Watanzania na kuleta...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
🔺Ni ili Mwaka wa Fedha 2028/2029 kila kaya iwe na bima 🔸Maoni ya wadau tayari, kifuatacho kubadili sheria NHIF 🔹Hakuna ubaguzi, kaya masikini nchi nzima kugharamiwa Kazi Na Utu Tunasongambele
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Je ulishawahi kuliona ama kulitafakari hili kama alivyofanya Manyanza !? Ofisi kubwa na za kisasa huweka maua ya asili kama mkakati wa kisayansi wa kusafisha hewa maeneo ya kazi. Mimea hii...
11 Reactions
14 Replies
237 Views
WATIBELI TUNARUHUSIWA KULALA UKWENI. HATUNA HUO MWIKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Zipo jamii au makundi ya watu ambayo kwao ni mwiko kulala Ukweni. Kwao ni jambo aibu. Mila hiyo...
1 Reactions
18 Replies
142 Views
Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya...
0 Reactions
2 Replies
37 Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George, ameeleza bungeni leo Septemba 2, 2026 kuwa serikali inaendelea kusimamia kikamilifu utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote ili kuhakikisha kila mwananchi...
1 Reactions
2 Replies
73 Views
👇🏻 Kuogelea ni burudani nzuri, lakini maji yanaweza kuwa hatari usipochukua tahadhari. Kwa usalama wako, zingatia haya: 1️⃣ Usiogelee sehemu usiyoijua kina chake au ambayo haijaandaliwa kwa...
6 Reactions
23 Replies
326 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…